Jeshi la Israel linasema kuwa litaondoa vikosi vitano vya kijeshi vilivyoshiriki katika uvamizi wa ardhini wa Gaza

hao waisrael ujanja wao ni airstrickes tu wanavunja nyumba na kuua watu kupitia mabomu ya kutoka angani kutumia ndege vita ila ukiwaleta ardhini hawana kitu, pamoja na mavifaru na masilaha mazito mazito laikini wameuliwa sana kwa vita ya ardhini. Kwa kifupi hawawezi kupigana vita ya ardhini na Hamas wakashinda na hilo wanalijua ndio mana wanasepa hapo wanajidai tu biashara zinakufa kumbe wamezidiwa..

Cha ajabu sasa hao Hamas hawana hata kifaru kimoja na wala hawana hata silaha za maana kwa sababu hakuna nchi inayoruhusiwa kuiuzia Hamas silaha wala kuisadia..silaha zao ni bunduki tu tena wanatengeneza wenyewe tu

Jeshi la Israel ukiondoa ndege vita ambazo wanaringia ni sifuri kabisa..
 

tofauti ya Hamas na Israel ni kwamba Hamas wao hawaogopi kufa kwani kufa kishujaa kwao ni bora kuliko manyanyaso na mateso wanayopitishwa na Israel.

Israel wao wanaogopa kifo balaa yani ni askari lakini hawapendi kufa hapo wameuliwa tu kidogo tayari wanakimbia..tehhh

siku wakiuliwa kwa wingi kama wao walivyoua Palestina basi wata resign kabisa na huo uanajeshi wataacha
 
Mazayuni hayana akili wana mpaka majeshi mashoga [emoji52][emoji52][emoji52]
 
Kumbe walikua wanajeshi wa Israel na sio marekani and the co
 
Kwa tafsiri nyingine hao jamaa wanato jeshi lote kama utatoa wanajeshi maana unawaexpose watakao kuwepo kwenye hatari zaidi
 
Hao vita ya uso kwa uso wameshindwa.

Wanaondowa majeshi yao ili waanze kutumia silaha za maangamizi kwa ndege. Nayo hawatashinda.

Hakuna aliyewahi kushinda vita kwa remote.
 
Jifarijini tu, Gaza na wapalestina wanauawa kila siku, mwisho wa siku mtaona Gaza haipo, kwa suala la mateka Israel ameshasema liwalo na liwe, lakini tunaifuta Gaza, mimi nawahurumia wapalestina, tutakuja kushtuka watu 100000 wamekufa.
Tatizo lako unafikiri wazayuni wanakutambua wewe golo halafu mkristo?

Mkristo kwa mazayuni ni najisi tu.
 
Hao vita ya uso kwa uso wameshindwa.

Wanaondowa majeshi yao ili waanze kutumia silaha za maangamizi kwa ndege. Nayo hawatashinda.

Hakuna aliyewahi kushinda vita kwa remote.
Bungo linatemwa kitaalamu sana awamu hii, wenzao Hamas washapata moto wao ndiyo kwanza wameanza kurudi nyuma.

Huwezi kushida vita bila majeshi ya ardhini.
 
Mazayuni walitangaza malengo (objectives) tatu na kwa miezi mitatu sasa, zote wameshindwa kuytimiza.

1) Kuwaondowa Wapalestina wote Ghaza - eameshindwa. Walichoweza ni kuuwa watoto, wanawake, wazee na wagonjwa kwa wingi.

2) Kuwamaliza Hamas wote , hii nayo wameshindwa, tunawaona Hamas bado wanawachapa mazayuni kila kukicha.

3) Kuikalia (occupy) Ghaza, hili nalo wameshindwa. Tunawaona wakihenyeshwa na wakiondoa majeshi yao kimya kimya vichwa chini kwa aibu.

Na miguvu ya na mali zao na majeshi yao na ya mabwana zao, na maaskari wakukodi, na midege ya kivita na vifari advanced duniani.

Na yote hayo wameshndwa, hawa Hamas wana nguvu kiasi gani? Hapo ndiyo tunapata jibu, dua za mwenye kudhulumiwa zinajibiwa papo kwa papo.
 
Hadi kufikia juzi


Kikosi kizima cha akiba kimesha ondolewa kutoka Ukanda kwenye ukanda wa Gaza na Kikosi cha

Makomandoo wa


Miamvuli namba 551 pamoja na Kikosi namba 14 cha Brigedi ya Hifadhi ya Kivita wanatarajiwa kuondoka muda wowote.
Wametema bungo mapema tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ