Jeshi la Kenya dhidi ya M23: Je, Kenya itaweza kufanya kile ilichofanya Tanzania mwaka 2013?

Anachofanya TORU ni drama ya kuwango cha Putin: ameenda Eastern DRC na askari wa Rwanda, je haamini kuwa DRC ndiye tatizo? , ana makubaliano gani na PAKA?
 
KDF hawajaleta maneno mkuu, wao ni wazee wa kazi kazi, hata Alshabaab wanakiri hilo.....humu JF ndio tumejaa maneno tu.

Hao M23 wasipokubali amani waandae tena pa kukimbilia.
imhotep
Mwezi sasa unakatika bila wananchi wa Congo kujua sababu ya Kenya kupeleka KDF nchini kwao.
M23 wameonesha wazi kuwa wao wapo imara zaidi ya jeshi la Kenya 😂😂🤣🤣
 
Anachofanya TORU ni drama ya kuwango cha Putin: ameenda Eastern DRC na askari wa Rwanda, je haamini kuwa DRC ndiye tatizo? , ana makubaliano gani na PAKA?
Sijakuelewa vizuri ulichoandika mkuu. Hebu soma mwenyewe vizuri ulichoandika afu ukitolee ufafanuzi.
 
Mwezi sasa unakatika bila wananchi wa Congo kujua sababu ya Kenya kupeleka KDF nchini kwao.
M23 wameonesha wazi kuwa wao wapo imara zaidi ya jeshi la Kenya 😂😂🤣🤣
Wameonyesha uwezo kwa Wakenya kwa kupambana na jeshi la Drc sio?
 
Wameonyesha uwezo kwa Wakenya kwa kupambana na jeshi la Drc sio?
Kenya walisema wanakwenda kuwapokonya silaha na kuwatimua katika ngome zao. Cha kushangaza muda waliotoa askari wa Kenya umeshakwisha week 3 zilizopita, jamaa bado hawajanyang'anywa silaha wala kuondolewa na Kenya katika ngome zao.
Kila mtu sasa anashindwa kuelewa sababu ya Kenya kuharakisha kupeleka jeshi lake Congo huku wakitoa mikwara mingi isiyokuwa na tija wala utekelezaji.

Ni bora wangesema wazi kwamba wanapeleka askari wao Congo kwenda kutalii na kupiga picha mbali mbali za kijeshi, ila sio kwenda kufanya oparation 😂🤣🤣
 
Unaingiaje JF wakati unakiwango kidogo hivyo cha uelewa?
Dah aisee, ama kweli JF imevamiwa.

Anachofanya TORU ni drama ya (kuwango) cha Putin: (ameenda Eastern DRC na askari wa Rwanda), (je haamini kuwa DRC ndiye tatizo?) , (ana makubaliano gani na PAKA?)
Ok wewe mwenye kiwango kikubwa cha uelewa naomba uniambie maana ya neno 'KUWANGO' uliloliandika hapo juu, nimeliweka maksudi kwenye mabano ili usije kujifanya hujaliona.

Pili ni nani alieenda Eastern DRC na askari wa Rwanda? Tunaomba ushahidi wa picha ikimuonesha huyo unaemsema hapa akiwa Eastern DRC na hao askari wa Rwanda. Kama haukutupa ushahidi wa picha, inamaana haya uliyoandika ni upuuzi mtupu na sasa wewe ndo utakuwa hauna unalolijua kuhusu JF.

Tatu ni nani unaetaka aamini kuwa DRC ndo tatizo? Ni kwanini unataka huyo mtu aamini kuwa DRC ndo tatizo? Fafanua, na kama na hili pia litakushinda kufafanua pia basi wewe ndo utakuwa hauna unalojua, na hii thread itaonekana umeivamia tu bila kuielewa au kufahamu kilichoandikwa.

Mwisho, sijui ni nani ulielenga kumuuliza swali hilo la makubaliano na Paka. Ni Tshisekedi, Kenyata au nani? Fafanua, maana usitake kulifanya jukwaa hili la great thinkers kama vile yale ma group yenu ya whatspp, FB nk.
 
Ok wewe mwenye kiwango kikubwa cha uelewa naomba uniambie maana ya neno 'KUWANGO' uliloliandika hapo juu, nimeliweka maksudi kwenye mabano ili usije kujifanya hujaliona.
Ni wapuuzi tu kama wewe ambao wanashindwa kupata message kwa sababu ya typos
 
Ni wapuuzi tu kama wewe ambao wanashindwa kupata message kwa sababu ya typos
Mbona hukuendelea hapo kwenye swali la pili, tatu na la mwisho? Au hujui ulichokiandika mwenyewe?
Serikali inafanya kosa sana kwa kutokuwajengeeni shule huko vijijini kwenu.
 
Mbona hukuendelea hapo kwenye swali la pili, tatu na la mwisho? Au hujui ulichokiandika mwenyewe?
Serikali inafanya kosa sana kwa kutokuwajengeeni shule huko vijijini kwenu.
Unataka niendelee kukujibu wakati hujui kusoma???
 
Hapa jamaa angu umetuingiza chaka
 
Hapana broo congo wanataka kuona hakuna kundi linalokua tishio kwa usalama wake kwa kuacha kujihusisha na vita vinavyoirudisha nyuma kimaendeleo huku upande mwingine waasi wakichafua hali ya hewa kwa vita ili wapore mali za congo kwa msaada wa rwanda na uganda zinanufaika sana na hivi vita congo kazidiwa ndo maana kaomba msaada kwa wenzake aliempata sio sahihiambae ni kenya mpiga dil kama rwanda na uganda tu hivyo congo kapigwa mara mbili ; kama huamini hili let FIB ipewe nguvu tena uone kama m23 hawajashikishwa adabu na mdomo wa kagame unaishia hapo
 
Kweli kabisa niliwaeleza watu kua kagame atamzunguka kenyatta na kuna mambo mawili tu ya kenya kujirekebisha hapa 1. Kenya kutekeleza hitajio la congo kuwapiga waasi2. Kenya kisaliti congo na kuungana na kagame kuipiga danadana congo kama kinachoendelea sasa ambao ni ushindi kwa waasi na kero kwa congo bado wanamiliki silaha na bado wanamiliki the promised land of wealth
 
RDF Sent 500 troops to support m23 what doesnt mean broo
 
Congo watawageuka muda utaongea kwakua tegemeo la congo kwa jeshi la africa mashariki sio hili linaonekana ktk media
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…