Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anachofanya TORU ni drama ya kuwango cha Putin: ameenda Eastern DRC na askari wa Rwanda, je haamini kuwa DRC ndiye tatizo? , ana makubaliano gani na PAKA?Inakuaje brothers and sisters,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Leo ndio siku ya mwisho waliopewa waasi wa Congo ili kusalimisha silaha zao kwa serikali, kinyume na hapo hatua kali za kijeshi zitachukuliwa kwa kundi lolote la waasi ambalo limekaidi amri hiyo. Na oparation hiyo itahusisha majeshi ya Afrika mashariki kutoka Burundi, Congo, Uganda na Kenya huku Kenya ikionekana kuongoza oparation hiyo ambayo kundi kuu la waasi nchini Congo la M23 likisema kwamba haliitambui oparation hiyo na kwamba yeyote atakaethubutu kwenda kuwachokoza katika maeneo yao wata deal nae.
Tusisahau kwamba mwaka 2013 nchi za Malawi, South Africa zikiongozwa na jeshi la Tanzania ambalo lilisimamia oparation zote za chini ziliweza kulisambaratisha kundi hilo la M23 katika kipindi kifupi cha week kadhaa tu, na kusababisha waasi hao kukimbia ng'ome zao na kuacha silaha zao na kwenda kuomba hifadhi katika nchi jirani za Rwanda na Uganda.
Sasa baada ya miaka 9 ya ile oparation kabambe iliyoongozwa na Tanzania, leo waasi hao wamerudi tena kwa kasi ile ile huku Kenya ikionekana kutaka kuchukua nafasi ya Tanzania ili kurudisha tena amani katika maeneo hayo ya mashariki mwa Congo.
Sasa tukiachana na hizi nchi zingine zilizoshiriki au zinazoshiriki katika oparation hizo kama vile SA, Malawi, Burundi na Uganda.
Swali langu je Kenya itaweza kufanya kile ilichofanya Tanzania?
Au jeshi lake linakwenda kupokea kichapo kile inachopokea serikali ya Congo?
Lets wait to see what's gonna happen. Maana yamebakia masaa matano tu ule muda waliyopewa waasi uishe.
God bless Congo,
God bless Tanzania,
God bless our continent Africa.
Thank you 🙏
Mwezi sasa unakatika bila wananchi wa Congo kujua sababu ya Kenya kupeleka KDF nchini kwao.KDF hawajaleta maneno mkuu, wao ni wazee wa kazi kazi, hata Alshabaab wanakiri hilo.....humu JF ndio tumejaa maneno tu.
Hao M23 wasipokubali amani waandae tena pa kukimbilia.
imhotep
Sijakuelewa vizuri ulichoandika mkuu. Hebu soma mwenyewe vizuri ulichoandika afu ukitolee ufafanuzi.Anachofanya TORU ni drama ya kuwango cha Putin: ameenda Eastern DRC na askari wa Rwanda, je haamini kuwa DRC ndiye tatizo? , ana makubaliano gani na PAKA?
KDF wako ground. SEMA wewe ndio hujui kinachoendelea huko.Mwezi sasa unakatika bila wananchi wa Congo kujua sababu ya Kenya kupeleka KDF nchini kwao.
M23 wameonesha wazi kuwa wao wapo imara zaidi ya jeshi la Kenya 😂😂🤣🤣
Uwingi wa jeshe siyo hoja je vifaa na teknolojia ni ya kisasa!Hakuna chochote Kenya imepeleka askari 2000 na M23 ina 8000+
Biashara ya Vita sio ya mchezo
Wameonyesha uwezo kwa Wakenya kwa kupambana na jeshi la Drc sio?Mwezi sasa unakatika bila wananchi wa Congo kujua sababu ya Kenya kupeleka KDF nchini kwao.
M23 wameonesha wazi kuwa wao wapo imara zaidi ya jeshi la Kenya 😂😂🤣🤣
Kenya walisema wanakwenda kuwapokonya silaha na kuwatimua katika ngome zao. Cha kushangaza muda waliotoa askari wa Kenya umeshakwisha week 3 zilizopita, jamaa bado hawajanyang'anywa silaha wala kuondolewa na Kenya katika ngome zao.Wameonyesha uwezo kwa Wakenya kwa kupambana na jeshi la Drc sio?
Unaingiaje JF wakati unakiwango kidogo hivyo cha uelewa?Sijakuelewa vizuri ulichoandika mkuu. Hebu soma mwenyewe vizuri ulichoandika afu ukitolee ufafanuzi.
Dah aisee, ama kweli JF imevamiwa.Unaingiaje JF wakati unakiwango kidogo hivyo cha uelewa?
Ok wewe mwenye kiwango kikubwa cha uelewa naomba uniambie maana ya neno 'KUWANGO' uliloliandika hapo juu, nimeliweka maksudi kwenye mabano ili usije kujifanya hujaliona.Anachofanya TORU ni drama ya (kuwango) cha Putin: (ameenda Eastern DRC na askari wa Rwanda), (je haamini kuwa DRC ndiye tatizo?) , (ana makubaliano gani na PAKA?)
Ni wapuuzi tu kama wewe ambao wanashindwa kupata message kwa sababu ya typosOk wewe mwenye kiwango kikubwa cha uelewa naomba uniambie maana ya neno 'KUWANGO' uliloliandika hapo juu, nimeliweka maksudi kwenye mabano ili usije kujifanya hujaliona.
Kwani wingi wa silaha ndo.nguvu we jamaa vipi??jeshi ni zaidi ya silaa mdogo angu kaa kimya ujui kitu...Ile brigedia ni dhaifu saana ina silaha chache mno
Mbona hukuendelea hapo kwenye swali la pili, tatu na la mwisho? Au hujui ulichokiandika mwenyewe?Ni wapuuzi tu kama wewe ambao wanashindwa kupata message kwa sababu ya typos
Unataka niendelee kukujibu wakati hujui kusoma???Mbona hukuendelea hapo kwenye swali la pili, tatu na la mwisho? Au hujui ulichokiandika mwenyewe?
Serikali inafanya kosa sana kwa kutokuwajengeeni shule huko vijijini kwenu.
Kwa sasa kuna vijana wengi wa kisomali wanakwenda kupigana upande wa M23 ili kuwasaidia ndugu zao dhidi ya adui yao mkubwa Kenya.
Ikumbukwe Kenya ni adui mkubwa wa alshabab (somalis) na pia kihistoria watutsi na somalis ni jamii moja. So mpaka hapo vita itakuwa tamu.
Sidhani kama ni muda muafaka kuuliza swali lako. Ulivyoliweka ni kwamba nia yako ni kulinganisha uwezo wa jeshi la Kenya na la Tanzania. Muda huu inabidi tuelekeze juhudi zetu katika kuondoa uasi unaozifanya nchi za Afrika kupoteza muda na mali katika migogoro isiyo na kichwa wala mkia badala ya kujikita katika kuleta maendeleo ya nchi.
Kwa upande wa wakenya washajua fika kwamba ndugu zao wamepelekwa kuuwawa kwa faida ya viongozi waliopo madarakani.
Kwa upande wa wacongo wanajua vizuri kwamba jeshi hilo la Kenya halitawaweza vijana hao.
Kwanza ile kujivinjari na totozi ndani ya mahotel ni mtego mkubwa uliyotegwa na hao M23.
Wengi wa hao totozi wanaolala na askari wa Kenya ni watutsi ambao wako kwenye mission maalum ya kufuatilia nyendo za wanajeshi wa Kenya. Wasipokuwa makini watapigwa ambush 1 kali sana ambayo itasababisha maafa makubwa kwa askari wa Kenya, na huo ndio utakuwa mwanzo wa mkakati wa akina mama wa Kenya kuomba watoto wao warudishwe nyumban.
We subiri muda utaongea.
Hebu tuwekee hapa records kuonyesha uchumi wa Rwanda ulitetereka kwa kiasi gani kuanzia kile kipindi cha 2013 ambako M23 walibondwa na kuachia maeneo hayo mpk hii majuzi walipoanza kupigana tena ili tuone ktk kipindi hicho chore Cha miaka 8 uchumi wa Rwanda ulikuaje.
Maana miaka yote hio ya 2013-2022 hao M23 wakiwa wamenyang'anywa hayo maeneo bado hao Rwanda walikua Kwny fastest growing economy in Africa na Wala hawakutetereka.
Namna Tishekedi anavyolazimisha kuwa Askari wa M23 waweke silaha chini Wasarende ni escalation ngoja ile tume ya Uhuru Kenyeta ndio watu wengi wanaisubiri.
Ila Kenya wajue wanaingizwa kwenye mgogoro wa ndani ya Kongo na wajue kabisa Jeshi la Kongo litawakimbia wabaki pekee yao.