Jeshi la Kenya dhidi ya M23: Je, Kenya itaweza kufanya kile ilichofanya Tanzania mwaka 2013?

Nimejaribu kuwafuatilia M23 sana nimegundua sio wale wa 2013 sasa hivi wana silaha Nzito na wako well organized nimeona wakishambulia possitions za Jeshi la DRC kwa Grad Missille launchers.

We hukujua walienda training 8 years then wamecome back na ndo maana kenya wazee wakuji ita supper power ya EAC wakaomba dill kumbe hamna kitu
 
RDF Ali ingiza wanajeshi 500 broo mbona huelewi
 
M23 sio wepesi kama unavyofikiria. Hao vijana 3000 nafikiri wataelekezwa wakapambane na yale makundi ya wahutu waliokimbia Rwanda. Ila kwa M23 hakuna kijana atakaekuwa tayari kuweka pua yake mbele yao.
M23 ni Jeshi la Kagame pure! hata silaha nzito za rwanda. Mnakumbuka uhusiano wa kagame na jakaya ulivyochuja kipindi TZ ilivyoongoza jeshi la UN kuwafurusha M23. Aliwafurusha kishenzi akarudi nyumbani akaanzisha operesheni kimbunga!
 
Ndio ni kweli, sasa inakuaje jeshi la Congo lishindwe vita na mbinu na nchi ndogo kama Rwanda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…