Gilbert simon
Member
- Apr 12, 2017
- 58
- 29
Huyo ni Meja Jenerali Jef Nyaga ni Mkikuyu halafu ukute M23 wameshamsoma hadi tabia zake na udhaifu wake.
Ukimsikia kagame utamuonea huruma utafikiri sio yeye keshamzunguka mkenya tayar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ni Meja Jenerali Jef Nyaga ni Mkikuyu halafu ukute M23 wameshamsoma hadi tabia zake na udhaifu wake.
Nimejaribu kuwafuatilia M23 sana nimegundua sio wale wa 2013 sasa hivi wana silaha Nzito na wako well organized nimeona wakishambulia possitions za Jeshi la DRC kwa Grad Missille launchers.
[emoji1][emoji1] MONUSCO Mara ya mwisho walipewa kichapo na helcopter Yao ikatunguliwa wakasema Hawa jamaa wana silaha za kisasa na nidhamu Kama wanajeshi sio Kama waasi.
Kuna siku FARDC na MONUSCO waliwazunguka hao M23 kuwapiga ambush wakajua leo wamewaweza, ghafla hao jamaa wakajigawa kwny vikundi vidogo vidogo na vikundi hivyo vikiwa na command Yao hapo FARDC na MONUSCO wakala kichapo wakakimbia baada ya hapo boss wa MONUSCO akasema mbinu waliyoitumia Leo ya kujigawa vikundi vidogo kwny ambush na wakatoboa hio sio mbinu ya kundi la waasi Hawa jamaa wana mafunzo ya kijeshi [emoji1][emoji1].
M23 wamenywea baada ya Rwanda kupewa onyo na mabeberu.Mguu ulioumwa na nyoka, siku ukikanyaga jani lazima ushtuke.
Kwa kichapo wanachopokea kutoka kwa vijana wa M23, ni lazima kila wanapomuona mtu anaefanana na jamii inayowatwanga wamuogope.
TrueKama hilo Jeshi kuna Uganda hakuna watakachofanikiwa.
Ndani ya jeshi la Uganda hao tutsi wamejaa na information zote lazima zifike kwa baba yao.
M23 ni Jeshi la Kagame pure! hata silaha nzito za rwanda. Mnakumbuka uhusiano wa kagame na jakaya ulivyochuja kipindi TZ ilivyoongoza jeshi la UN kuwafurusha M23. Aliwafurusha kishenzi akarudi nyumbani akaanzisha operesheni kimbunga!M23 sio wepesi kama unavyofikiria. Hao vijana 3000 nafikiri wataelekezwa wakapambane na yale makundi ya wahutu waliokimbia Rwanda. Ila kwa M23 hakuna kijana atakaekuwa tayari kuweka pua yake mbele yao.
Ndio ni kweli, sasa inakuaje jeshi la Congo lishindwe vita na mbinu na nchi ndogo kama Rwanda?M23 ni Jeshi la Kagame pure! hata silaha nzito za rwanda. Mnakumbuka uhusiano wa kagame na jakaya ulivyochuja kipindi TZ ilivyoongoza jeshi la UN kuwafurusha M23. Aliwafurusha kishenzi akarudi nyumbani akaanzisha operesheni kimbunga!
Rwanda ni ndogo kwa Congo katika nyanja zipi?Ndio ni kweli, sasa inakuaje jeshi la Congo lishindwe vita na mbinu na nchi ndogo kama Rwanda?
Nazungumzia ukubwa wa eneo, population na historia.Rwanda ni ndogo kwa Congo katika nyanja zipi?
Ni rahisi sana kundi la kondoo linaloongozwa na simba kulishinda vita kundi la simba linaloongozwa na kondooNazungumzia ukubwa wa eneo, population na historia.