T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Haya maelezo ndio yanaonyesha KDF itapigwa na M23?Ndugu umeweka picha na maelezo marefu lkn tayari ishaonesha kuwa huna unalolijua kuhusu namna mambo ya kijeshi yanavyokuwa. Sasa tulia nikupe somo kidogo huenda nikakutoa tongo tongo zilizopo machoni.
Ni hivi, Mwaka 2013 Tanzania tukishirikiana na Malawi pamoj na SA tulikwenda Congo kwa lengo la kuwapokonya silaha kwa nguvu, na kuwatimua katika ngome zao waasi wote ambao walikaidi agizo lililotolewa na nchi za SADC la kuweka silaha chini. Na kwa vile lengo la kupeleka jeshi letu kule ilikuwa ni kuwanyang'anya silaha kwa nguvu na kuwatimua, basi tulipofika kule hatukuleta maneno mengi kama yanayoletwa na askari wa Kenya sasa.
Sisi tulipofika tu maeneo husika kazi ikaanza bila kuongeza hata dakika moja na oparation ilikuwa kabambe sio ya kitoto hadi kupelekea waasi hao pamoja na wale wa Uganda na Burundi kukimbia ngome zao, wengine kujisalimisha na wengine kukubali kuweka silaha chini hata baada ya muda waliopewa kupita.
Baada ya oparation ile ambayo ilikuwa chini ya SADC, Tanzania na nchi zilizoshiriki oparation ile zikaunganishwa katika kikosi cha Umoja wa Mataifa ambacho kipo kule kwa lengo la kuwalinda raia.
Sasa basi ukiangalia mambo ya kijeshi utagundua kwamba hapo kuna mambo mawili tofauti. Nayaandika hapo chini kwa namba.
1) Oparation ya SADC ilikuwa ni ya kwenda kupambana moja kwa moja na waasi ili kuwanyang'anya silaha na kuwatimua katika ngome zao. Hii oparation iliwaruhusu kutumia silaha yoyote kulingana na uzito vita wanayopigana na UN haikuwa na uwezo wa kuingilia oparation ile.
2)
Yani natafuta justification ya kuidharau KDF sioni. Mnaleta story tu, Kenya nayo ianze leta story za Somalia au namna gani. Aliyewaambia ukidharau jeshi la jirani jeshi lako linakuwa bora nani