Jeshi la Kenya lililopelekwa nchini Congo linatia aibu

Jeshi la Kenya lililopelekwa nchini Congo linatia aibu

Hata mm bado nashangaa na jujiuliza sasa wana fanya nn huko DRC
Maana naona wana show case tu zile bunduki zako nzuri.😀😀😀😀
Felix Tshekedi kapigwa changa la macho haamini anachokiona
 
Wao ndio wanaoongoza oparation. Mbona Tanzania tulipopewa nafasi waliyopewa Kenya leo tulionesha njia kwa safisha safisha mpaka waasi wote wakasalimisha silaha zao na wengine wakakimbilia nchi jirani.

Kwamba tz tulipewa nafasi ya kuongoza vita msumbiji na tukawatoa waasi au?

Ukweli najua tz tuko vizur sana kwenye kujilinda!
Hata jwtz waliopo pale mtwara wanafanya kazi nzuri sana ya kuwatwanga m23 ila vita ya msumbiji nadhan ni zaid ya vita ya kawaida
 
Kwema wakuu,

Wengi tulijua tu kwamba jeshi la Kenya halitaweza hata kurusha jiwe kwa kundi hilo la waasi wa M23, kutokana na jeshi hilo kuliogopa vibaya kundi hilo. Sasa hali inazidi kuwa mbaya na kundi hilo linazidi kuteka maeneo mbele ya macho ya jeshi la Kenya huku Wakenya wakiangalia tu.

View attachment 2497625

Waasi wa M23 wanadai kuuteka mji wa Kitshanga/Kitchanga katika eneo la Masisi nchini DR Congo baada ua siku tatu za mapigano makali.

Mashirika ya Kiraia na Majeshi ya Umoja wa Mataifa nchini DRC yamelaani mashambulizi ya kijeshi ya M23, ambayo sasayamesukuma zaidi ya raia laki nne kuyakimbia makazi yao.

Redio ya Okapi inayofadhiliwa na Umoja wa Mataifa iliripoti kuanguka kwa Kitshanga kwa waasi.
Askari wa kutoka ughaibuni wapo,na toka kenya wapo lakini ni kama hakuna askari wa msaada.Watoke tu warudi kwao.
 
Jeshi dhaifu la Kenya!
Kenya hawana jeshi. Mi nashangaa jinsi vyombo vya magharibi vinavyoiwekaga Kenya katika nchi yenye jeshi bora EAC na Afrika kwa ujumla.

Nafikiri ni kwa vile Kenya wanaitumiaga kwa mambo mengi, ndomaana wanaipaga sifu zisizokuwa nazo.
 
Hata mm bado nashangaa na jujiuliza sasa wana fanya nn huko DRC
Maana naona wana show case tu zile bunduki zako nzuri.😀😀😀😀
Felix Tshekedi kapigwa changa la macho haamini anachokiona
Awafukuze tu maana hawana maana.
 
Kwamba tz tulipewa nafasi ya kuongoza vita msumbiji na tukawatoa waasi au?

Ukweli najua tz tuko vizur sana kwenye kujilinda!
Hata jwtz waliopo pale mtwara wanafanya kazi nzuri sana ya kuwatwanga m23 ila vita ya msumbiji nadhan ni zaid ya vita ya kawaida
Tanzania toka mwanzo hatujataka kujihusisha na mambo ya Msumbiji ndomaana unaona magaidi ya Msumbiji yanatamba kivile. Ikumbukwe kwamba magaidi hao wa Msumbiji walianzia oparation zao Tanzania huko mkuranga na kibiti mkoani Pwani.

Hata hivyo Tanzania kupitia jeshi letu lenye uweledi mkubwa, tulifanikiwa kuwaangamiza magaidi wale hadi wengine wakapata upenyo wa kukimbilia Msumbiji kuanzisha uasi mungine kule katika nchi ambayo haina ulinzi wa kutosha kuwatokomeza.

Sasa kifupi sisi tuko vizuri ndio maana unaona mpaka leo magaidi wale wamebakia huko huko Msumbiji, hakuna panya hata mmoja mwenye mawazo ya kurudi kuanzisha tena uasi katika ardhi yetu.

By the way jeshi la Tanzania lipo vizuri kivita, na hii ni kwa sababu ya ueledi mkubwa uliopo ndani jeshi letu. Hatujawahi kushindwa vita kuanzia zile za ukombozi wa waafrika wenzetu huko Zimbabwe, Msumbiji, Namibia nk.
Lakini pia hata hivi vita vya sasa huwa tunaacha alama kubwa isiyosahaulika. Tulichokifanya huko Congo mwaka 2013 dhidi ya M23 hakitasahaulika katika vichwa vya M23 wengi, hapo sijazungumzia ukombozi wa kisiwa cha Comoro nk.

Kenya, Uganda, Rwanda na nchi zingine za EAC hawana historia inayofanana na yetu hata 1. Mwenye historia yoyote kuhusu nchi moja yapo kwa upande wa jeshi atuletee tupimanishe na historia ya Tanzania.

Sio mtu aje na historia ya kipuuzi sijui jeshi la Kenya liliwashinda magaidi pale wast gate nk.

Karibu sana tujadili.
 
Mi nashauri waondoke tu huko,inauma sana unajeshi lililoijitapa kuja kuwaondoa maadui lakini bado raia wanakufa kila siku huku wao wakipiga stori tu hapo kambini kwao.
 
msituni wako empty Sana .NI wazuri wa anga lkn nch kavu ,wabovu Sana .
Hiki ulichoandika hapa nahisi kina ukweli ndani yake.

Jamaa wakati wanafika fika Congo kuna clip ilioneshwa jeshi la Congo likiwaoneesha Wakenya mahali zilipo ngome za M23. Wakawaelekeza na njia za kupita kufika huko katika ngome zao.

Cha kushangaza hadi leo ni mwezi wa nne sasa Wakenya hawajarudi tena katika yale maeneo waliyooneshwa.

Ila kila unapokwenda kwenye gest au hotel utawakuta wanajeshi wawili au watatu wanatoka ndan ya gest. Sasa utajiuliza hawa wamekwenda vitani au kufanya mapenzi na warembo wa kinyamulenge?
 
Mi nashauri waondoke tu huko,inauma sana unajeshi lililoijitapa kuja kuwaondoa maadui lakini bado raia wanakufa kila siku huku wao wakipiga stori tu hapo kambini kwao.
Kweli kabisa mkuu. Hapakuwa na sababu ya kupoteza pesa zao kupeleka jeshi lao nchini Congo.
 
Najiuliza kijinga jinga tu, kwanini Raisi wa Kongo hasiongee na Samia wachukue sehemu ya jeshi la Tanzania waende kwenye lile eneo misituni humo wasafishe lakini wasiondoke wapewe mamlaka kamili ya kutawala lile eneo angalau kwa miaka 5 kuhakikisha hakuna vimelea vya waasi vimebaki. Kwa kipindi hicho jeshi la Kongo liwe linajenga kambi kubwa kubwa misituni na mashambani kwa ajili ya kulinda Mipaka ya nchi yao. Hali ya Usalama ikitengemaa mamlaka wanawaachia Jeshi la Kongo, kuliko kuendelea kudeal na makundi aya ambayo baadhi yanamilikiwa na Magenerali wa Jeshi la Kongo.
 
Back
Top Bottom