luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Huu uzi auone MK254
Wao ndio wanaoongoza oparation. Mbona Tanzania tulipopewa nafasi waliyopewa Kenya leo tulionesha njia kwa safisha safisha mpaka waasi wote wakasalimisha silaha zao na wengine wakakimbilia nchi jirani.
Wakenya lile tukio la West gate tu lilionyesha udhaifu wao,Jeshi lilienda mpaka na Vifaru na Alshabaab wakatoroka via mabomba ya maji machafu
West gate ipi mkuu ktk lile tukio mbona wanamgambo wa Alshabaab walikuwa wa2 na wote walipoteza maisha?Wakenya lile tukio la West gate tu lilionyesha udhaifu wao,Jeshi lilienda mpaka na Vifaru na Alshabaab wakatoroka via mabomba ya maji machafu
Wengine walikimbia,siyo wote walikufaWest gate ipi mkuu ktk lile tukio mbona wanamgambo wa Alshabaab walikuwa wa2 na wote walipoteza maisha?
Askari wa kutoka ughaibuni wapo,na toka kenya wapo lakini ni kama hakuna askari wa msaada.Watoke tu warudi kwao.Kwema wakuu,
Wengi tulijua tu kwamba jeshi la Kenya halitaweza hata kurusha jiwe kwa kundi hilo la waasi wa M23, kutokana na jeshi hilo kuliogopa vibaya kundi hilo. Sasa hali inazidi kuwa mbaya na kundi hilo linazidi kuteka maeneo mbele ya macho ya jeshi la Kenya huku Wakenya wakiangalia tu.
View attachment 2497625
Waasi wa M23 wanadai kuuteka mji wa Kitshanga/Kitchanga katika eneo la Masisi nchini DR Congo baada ua siku tatu za mapigano makali.
Mashirika ya Kiraia na Majeshi ya Umoja wa Mataifa nchini DRC yamelaani mashambulizi ya kijeshi ya M23, ambayo sasayamesukuma zaidi ya raia laki nne kuyakimbia makazi yao.
Redio ya Okapi inayofadhiliwa na Umoja wa Mataifa iliripoti kuanguka kwa Kitshanga kwa waasi.
Kenya hawana jeshi. Mi nashangaa jinsi vyombo vya magharibi vinavyoiwekaga Kenya katika nchi yenye jeshi bora EAC na Afrika kwa ujumla.Jeshi dhaifu la Kenya!
Tanzania toka mwanzo hatujataka kujihusisha na mambo ya Msumbiji ndomaana unaona magaidi ya Msumbiji yanatamba kivile. Ikumbukwe kwamba magaidi hao wa Msumbiji walianzia oparation zao Tanzania huko mkuranga na kibiti mkoani Pwani.Kwamba tz tulipewa nafasi ya kuongoza vita msumbiji na tukawatoa waasi au?
Ukweli najua tz tuko vizur sana kwenye kujilinda!
Hata jwtz waliopo pale mtwara wanafanya kazi nzuri sana ya kuwatwanga m23 ila vita ya msumbiji nadhan ni zaid ya vita ya kawaida
Hiki ulichoandika hapa nahisi kina ukweli ndani yake.msituni wako empty Sana .NI wazuri wa anga lkn nch kavu ,wabovu Sana .
Kweli kabisa mkuu. Hapakuwa na sababu ya kupoteza pesa zao kupeleka jeshi lao nchini Congo.Mi nashauri waondoke tu huko,inauma sana unajeshi lililoijitapa kuja kuwaondoa maadui lakini bado raia wanakufa kila siku huku wao wakipiga stori tu hapo kambini kwao.
Tunaambiwaga hivyo.Kwa wakenya wenyewe hawana? Na kama hawana walienda kufanya nini sasa katika nchi ya watu?