Jeshi la Kenya lililopelekwa nchini Congo linatia aibu


Asante kwa somo!!
 

Hatari sana
 

Tanzania imeangalia vizuri hii vita ndiyo maana imekaa pemben!
 
Wakenya lile tukio la West gate tu lilionyesha udhaifu wao,Jeshi lilienda mpaka na Vifaru na Alshabaab wakatoroka via mabomba ya maji machafu
Kule somalia makamanda wao wamebaki ku deal na biashara za mikaa ya magendo tu ,hawa jamaa jeshi lao vifaa wanavyo shida hakuna discipline wana njaa sana,,,,,west gate kuna askari wao walivyoingia ndani wakawa wanakimbilia kubeba mikate
 
Congo watu hawataki vita iishe, mpaka mavuno yaishe, nasikia baada ya Tanzania kuwaangamiza M23, walipewa vikwazo vingi, na kulazimishwa kurudisha silaha ng'oa ng'oa Tanzania.

Hivyo hivi sasa hata JWTZ halima meno ya kupigana na M23, wamenyang'anywa silaha zenye uwezo. tusiwalaumu Wakenya wanafuata maelekezo.
 

Siamini
 
Wameenda kutafuna mbususu!! Hata hiyo nayo ni vita,hamjui tu
 
Samia asiungie huu mtego,asubiri marais wanaume waje,sasa hiv adeal na watakaotuletea chokochoko ndani kwetu,
 
Kwasababu wakenya wengi ni wajanjajanja,hawa watakuwa wameenda kuchukua madini hakuna kingine

Majeshi ya msaada karibu yote yana interest zao binafsi na sio kuwasaidia wana nchi!
Nchi yetu Tanzania [emoji1241] tu ndio tulikuwa waungwana na tulisaidia nchi karibu tano na Jeshi lenyewe mpaka walipata uhuru wao nasi tukaondoka bila kuchukua kitu chochote kutoka hizo nchi!
Ndio maana nwaomba jeshi la waombaji walio hapa JF lazima tumkbushe Mwenye Enzi Mungu kwa damu za ndugu zetu zilizo mwagika kwa ajili ya Africa nzima iwe huru, atutetee nchi yetu hii aondoe manyanyaso ya mafisadi na mijizi ya Taifa letu, tumkumbushe ili awalinde watoto, vijana na kina mama wanao nyanyasika!
Atupe akili, hekima, afya, ufahamu na utajiri!
Waombaji tuendelee kumkumbusha Mwenye Enzi Mungu![emoji1241][emoji2972]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…