Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) lakataa vijana 8 kutokana na kujihusisha na vitendo vya Ushoga

Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) lakataa vijana 8 kutokana na kujihusisha na vitendo vya Ushoga

Nadhani kidole cha Dr. kiliteleza tu pale kwenye marinda.... imagine baba ndio unaletewa taarifa kwamba mtoto wako kakataliwa na jeshi kwa kisa hiki daah
Ataeleza vzr tu kwa heavyweight kichapo
 
Hao hapo nap ni watoto wa kiume
IMG-20221108-WA0004.jpg
View attachment 2410327
 
Mkuu wa wilaya ya Iramba Selemani Mwenda amesema vijana hao nane kati ya thelathini waliyokosa sifa ya kujiunga na mafunzo ya JKT ni kutokana na vipimo kubaini kwamba wanajihusisha na vitendo vya ushoga.

Kijana mmoja alioneka akikimbia kwa kukata viuno na jinsi alivyokuwa akiweka mikono na vidole vyake ikaweka hali ya kutiliwa mashaka kuwa huenda anajihusisha na vitendo vya ushoga, alisema Kamanda Kanali wa JKT.

View attachment 2410072
Nikidhani kwenye vipimo kabla hawajajiunga kuna test ya kuhesabu idadi ya marinda yaliyosalia
 
Wapiga mipini nao waondolewe maana wamewapoteza hao watawaharibu na wengine maana tatizo hilo linahusu pande zote
 
Vijana 8 kati ya 30 inamaana karibia 27% ikimaanisha kwenye wanaume 100, 27 ni mashoga. Tuombe sana isee Hali ni mbaya .

Kwenye zile data za sensa tutoe 27% ya mashoga ndio tupate idada ya wanaume Tanzania.
Acha uongo wewe..

Ni 8 kati ya 30 ya waliorudishwa..i.e nane mashoga then hao 22 wanashida nyingine
 
Acha uongo wewe..

Ni 8 kati ya 30 ya waliorudishwa..i.e nane mashoga then hao 22 wanashida nyingine
Ndio kwenye Hilo kundi la vijana 30 waliorudishwa asilimia 27% walirudishwa kwa sababu za ushoga.
Waliorudishwa kwa shida zingine ni asilimia 73%, shida ipo wapi?
 
Sitetei ushoga ila hii nchi ina watu wenye imani za hovyohovyo sana.
Mwanasiasa anajiona na yeye ni daktari.
Kuna wengine masikini wana matatizo ya bawasiri, ikitokea kwenye ukaguzi kama huo iwe ni jeshini au jela na yeye moja kwa moja anaingizwa kwenye hilo fungu la mashoga.
Bawasiri inahusikaje hapa mkuu? Au ukipata bawasiri unabadili matendo na muonekano unakua wa kidada
 
Km mazoezi wanayamudu wangewaacha maana sidhani km kuna Shoga angeweza yamudu mazoezi au isikute wameharibikia hapo kwenye kambi
Kila kitu kina taratibu zake, utaratibu uliopo sasahivi, Ushoga hauruhusiwi jeshini, labda hizo taratibu zifanyiwe marejebisho.
 
Back
Top Bottom