Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,397
- 6,015
Juan Manuel & Furushi la Chanjo mmejaa sana upepo, inaonekana ni mapunga na wote ni ID ya Mtu mmoja.Halafu hata huko jeshini kuna mapunga kibao tu mimi nawajua.
Huyu afande anatafuta namna ya kuficha udhaifu wa uwezo wa jeshi katika uokoaji.
Juzi wameamrishwa kuzima moto Kilimanjaro wakabaki wanazunguka na mabuti tu hakuna wanalofanya.
Sasa kapata chaka la ushoga la kujifichamo. Kwamba na yeye ni rijali.
Afande afanye kazi. Aache kujificha kwenye ushoga na visingizio.
Poleni sana, hii ndiyo dunia.