Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) lakataa vijana 8 kutokana na kujihusisha na vitendo vya Ushoga

Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) lakataa vijana 8 kutokana na kujihusisha na vitendo vya Ushoga

Vijana 8 kati ya 30 inamaana karibia 27% ikimaanisha kwenye wanaume 100, 27 ni mashoga. Tuombe sana isee Hali ni mbaya .

Kwenye zile data za sensa tutoe 27% ya mashoga ndio tupate idada ya wanaume Tanzania.
Hao 30 ni wale waliokosa sifa na sio recruit wote hivyo huwezi kuweka uwiano na watanzania wote waliohesabiwa kwenye sensa.
Walitakiwa watanzania wote wapimwe na daktari kisha 27% ya hao watakao kosa sifa wakutwe na dalili za kujihusisha na ushoga.
 
Nakumbuka Tulikaguliwa pale KJ 824 unainama unakohoa unavuta hewa na Kuachia alaf Afande Alikua mama Hakuna aliepatikana na dalili za Ushoga ila najiuliza mpaka Leo akipatikana wanamkataa hapohapo au
 
Jamani kama taarifa hizi ni sahihi basi wanaume tupo wachache mno. Ni video ikimuonesha mkuu wa jeshi JWTZ akiongelea kuwafukuza baadhi ya watahiniwa waliotakiwa kujiunga na jeshi hilo.

Ilibainika kuwa katika watainiwa 30 ambao walikosa sifa za kujiunga na jeshi kuna watainiwa 8 walikosa kujiunga kwa sababu ya ushoga, yaani watainiwa 8 kati ya 30 ni mashoga.

Nimejaribu kufikiri yaani kwa kada ngumu kama ya jeshi mambo ipo hivo je kwenye ualimu, udaktari , uandi wa habati ..nk itakuaje.... ?

Yaani tukienda na sample ya kwenye kundi la wanaume 30 basi 8 ni mashoga tukipiga hesabu ya wanaume milioni 30 tuliopo tz ukikrosi matiplication utagundua kabisa idadi kamili ya wanaume rijali tz ni ndogo mno tena sana.

NB
Wenye watoto wa kiume tunakazi kubwa sana na tunahitaji kuongeza muda wa ziada na mbinu mbadala kuwasaidia kufika salama kwenye uanaume rijali.

Kazi kwetu.
 
Back
Top Bottom