Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) lakataa vijana 8 kutokana na kujihusisha na vitendo vya Ushoga

wewe utakuwa mtu wa pwani...Lindi,, Mtwara, DSM, Pwani, Tanga ndio wanaojali vitu hivyo sana kwenye maisha yapo na mila zao!
Kwa hiyo kwa watu ambao huja wataja hapo kwao ni sahihi watoto wa kiume kuwa mashoga
 
[emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]! Inasikitisha sana!!

Ndio hivyo...

Kuna kitu najaribu tu kufikiria, hao vijana walijiunga jeshini wakiwa na nia nzuri (thabiti) au mbaya (kwenda kutafuta soko)...

Huenda wamekatishwa ndoto za kutafuta kurudi kuwa sawa (wakakamavu), sababu tu ya hali zao za uchoko...

Maana kwenye kiswahili huwa tunachanganya vitu viwili, mwanaume anayegawa tako (shoga) na mwanaume mwenye vichocheo vya kike zaidi ya kiume na hagawi tako (shoga)...
 
Kwa hiyo kwa watu ambao huja wataja hapo kwao ni sahihi watoto wa kiume kuwa mashoga
Kwani mtu kuwa shoga ni kuwa hana nguvu za kiume? (rijali ni kuwa na nguvu za kiume..erectile functionality). Nasema ukanda huo wanajali sana haya mambo......uanaume kwao ni rijali......
 
Hao wote jeshini hawatufai mkuu
 
Au walitumia kile cha tochi . Unatupatia shida jamani sie ratio ya wanawake inaonyesha wenzetu ni wengi na still tena wenzetu mnakuwa mapunga. Tunahitajika tusave hata 5 kwa mme 1.
 
Yeah najua mkuu maana mnaweza mkaenda na mtu vitani, akaishia kujitongozesha kwa maadui akauza ramani ya vita ๐Ÿ˜‚, lakini si unajua huwezi zuia ubongo kufikiri....
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ™Œ
 
Video iko wapi mkuu
 
Jamii iwe inawatahadharisha vijana wao.Kama wana tabia za ushoga hawatokubaliwa jeshini.Hasa JWTZ/JKT.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ