Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) lakataa vijana 8 kutokana na kujihusisha na vitendo vya Ushoga

Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) lakataa vijana 8 kutokana na kujihusisha na vitendo vya Ushoga

wewe utakuwa mtu wa pwani...Lindi,, Mtwara, DSM, Pwani, Tanga ndio wanaojali vitu hivyo sana kwenye maisha yapo na mila zao!
Kwa hiyo kwa watu ambao huja wataja hapo kwao ni sahihi watoto wa kiume kuwa mashoga
 
[emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]! Inasikitisha sana!!

Ndio hivyo...

Kuna kitu najaribu tu kufikiria, hao vijana walijiunga jeshini wakiwa na nia nzuri (thabiti) au mbaya (kwenda kutafuta soko)...

Huenda wamekatishwa ndoto za kutafuta kurudi kuwa sawa (wakakamavu), sababu tu ya hali zao za uchoko...

Maana kwenye kiswahili huwa tunachanganya vitu viwili, mwanaume anayegawa tako (shoga) na mwanaume mwenye vichocheo vya kike zaidi ya kiume na hagawi tako (shoga)...
 
Kwa hiyo kwa watu ambao huja wataja hapo kwao ni sahihi watoto wa kiume kuwa mashoga
Kwani mtu kuwa shoga ni kuwa hana nguvu za kiume? (rijali ni kuwa na nguvu za kiume..erectile functionality). Nasema ukanda huo wanajali sana haya mambo......uanaume kwao ni rijali......
 
Ndio hivyo...

Kuna kitu najaribu tu kufikiria, hao vijana walijiunga jeshini wakiwa na nia nzuri (thabiti) au mbaya (kwenda kutafuta soko)...

Huenda wamekatishwa ndoto za kutafuta kurudi kuwa sawa (wakakamavu), sababu tu ya hali zao za uchoko...

Maana kwenye kiswahili huwa tunachanganya vitu viwili, mwanaume anayegawa tako (shoga) na mwanaume mwenye vichocheo vya kike zaidi ya kiume na hagawi tako (shoga)...
Hao wote jeshini hawatufai mkuu
 
Au walitumia kile cha tochi . Unatupatia shida jamani sie ratio ya wanawake inaonyesha wenzetu ni wengi na still tena wenzetu mnakuwa mapunga. Tunahitajika tusave hata 5 kwa mme 1.
 
IMG_20221108_204758.jpg
IMG_20221108_204803.jpg
 
Jamani kama taarifa hizi ni sahihi basi wanaume tupo wachache mno. Ni video ikimuonesha mkuu wa jeshi JWTZ akiongelea kuwafukuza baadhi ya watahiniwa waliotakiwa kujiunga na jeshi hilo.

Ilibainika kuwa katika watainiwa 30 ambao walikosa sifa za kujiunga na jeshi kuna watainiwa 8 walikosa kujiunga kwa sababu ya ushoga , yaani watainiwa 8 kati ya 30 ni mashoga.

Nimejaribu kufikiri yaani kwa kada ngumu kama ya jeshi mambo ipo hivo je kwenye ualimu, udaktari , uandi wa habati ..nk itakuaje.... ?

Yaani tukienda na sample ya kwenye kundi la wanaume 30 basi 8 ni mashoga tukipiga hesabu ya wanaume milioni 30 tuliopo tz ukikrosi matiplication utagundua kabisa idadi kamili ya wanaume rijali tz ni ndogo mno tena sana.

NB
Wenye watoto wa kiume tunakazi kubwa sana na tunahitaji kuongeza muda wa ziada na mbinu mbadala ikiwa ni kuanza kuwalaza na mahouse girl hadi hapo utakapo ona ameanza kunogewa na utamu wa mbususu kama starter itaweza kuwasaidia kufika salama kwenye uanaume rijali.

Kazi kwetu.
Video iko wapi mkuu
 
Jamii iwe inawatahadharisha vijana wao.Kama wana tabia za ushoga hawatokubaliwa jeshini.Hasa JWTZ/JKT.
 
Back
Top Bottom