Jeshi la Madagascar limechukua Uongozi wa nchi! Eti TV za Bongo wanashindwa kutangaza kwamba

Patriot

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2008
Posts
5,759
Reaction score
4,872
Kuna watu hovyo wamekazana kusimulia nchi jilani zina vita, machafuko, Oooh Kongo wanateseka, nk. Hadithi kama hizo hujitokeza wakati wa uchaguzi. Mbona hata sisi watu wanatekwa na kupotea?

Jana jeshi la Madagascar limechukua uongozi wa nchi. kama kawaida ya BBC Swahili ikawa ni habari kuu. Eti Star Tv wakaamua kukata mawasiliano hadi habari hiyo ilipokwisha. Yaonekana StarTv bado wanaamini tunawategemea wao kuifahamu Dunia, NO!

Niliingia mtandaoni, YouTube nikakuta watu laki 1 (elfu mia 1) wamejiunga na wanasikiliza habari
 
Radio, magazeti na Tv zote za nchi hii zina zimeunganishwa zinatumia rimoti 1 na anaeibinya ni yule aliesema "watu najiteka wenyewe". Si ulisiki hata polisi na tcra hawataki mahudhui ya maandamano ya nchi zingine zionekane Tanzania?
 
Kuna watu hovyo wamekazana kusimulia nchi jilani zina vita, machafuko, Oooh Kongo wanateseka, nk. Hadithi kama hizo hujitokeza wakati wa uchaguzi. Mbona hata sisi watu wanatekwa na kupotea?

Jana jeshi la Madagascar limechukua uongozi wa nchi. kama kawaida ya BBC Swahili ikawa ni habari kuu. Eti Star Tv wakaamua kukata mawasiliano hadi habari hiyo ilipokwisha. Yaonekana StarTv bado wanaamini tunawategemea wao kuifahamu Dunia, NO!

Niliingia mtandaoni, YouTube nikakuta watu laki 1 (elfu mia 1) wamejiunga na wanasikiliza habari
Madagascar ni mfano mzuri maana huyo kijana DJ aliingia katika madaraka baada ya maandamano na kusifiwa miaka hiyo. Leo hii kiko wapi. Angalia jinsi JPM alivyonang'wa na wapinzani hususan Lissu. Alipoingia Samia, lissu huyu huyu alipongeza na kutueleza kuwa mama kaifungua nchi. Leo hii anamzungumziaje Samia. Waafrika tatizo kubwa hatuna Itikadi ni tumbo mbele tu!!!!!
 
Kuna watu hovyo wamekazana kusimulia nchi jilani zina vita, machafuko, Oooh Kongo wanateseka, nk. Hadithi kama hizo hujitokeza wakati wa uchaguzi. Mbona hata sisi watu wanatekwa na kupotea?

Jana jeshi la Madagascar limechukua uongozi wa nchi. kama kawaida ya BBC Swahili ikawa ni habari kuu. Eti Star Tv wakaamua kukata mawasiliano hadi habari hiyo ilipokwisha. Yaonekana StarTv bado wanaamini tunawategemea wao kuifahamu Dunia, NO!

Niliingia mtandaoni, YouTube nikakuta watu laki 1 (elfu mia 1) wamejiunga na wanasikiliza habari
Hamia Madagascar
 
Kuna na mengine huku:

Huihui2, Stuxnet, imhotep.

Au nasema uongo?
 
Angalia jinsi JPM alivyonang'wa na wapinzani hususan Lissu.
Yes alinangwa kwa kuminya demokrasia hata Samia alipendwa kwa kurejesha demokrasia ila alipoivuruga tu akageukwa na wapinzani wote.

Wa kuwashangaa ni CCM maana aliyopinga JPM ndio yamerejeshwa na Samia na bado wanapiga makofi tu ila upinzani kuisahihisha CCM hata milele ni sawa maana ndio jukumu lake.
 
Mbona alitolewa kwenye uchaguzi, alirudishwa kwa uchaguzi mwaka 2023.

Hujui chochote ila unaleta ujuaji.
Kijana, ngoja tuombe msaada wa AI

History of Andry Rajoelina​

Andry Rajoelina is a Malagasy politician and businessman who has dominated Malagasy politics for over a decade and experienced two significant power shifts, including a recent flight from the country.

  • Early Career: Rajoelina first gained national attention as a successful entrepreneur (former DJ and media mogul) before entering politics.
  • Mayor of Antananarivo (2007-2009): He was elected Mayor of the capital city. His clashes with then-President Marc Ravalomanana led to a major political crisis.
  • Rise to Power (2009 Coup):
    • Rajoelina led mass protests against Ravalomanana's government.
    • The political crisis culminated in the military-backed 2009 coup d'état, which forced Ravalomanana to resign and flee the country.
    • Rajoelina was installed as the President of the High Transitional Authority (HAT) and served in this capacity until 2014. This period was marked by international isolation and sanctions.
 
Radio, magazeti na Tv zote za nchi hii zina zimeunganishwa zinatumia rimoti 1 na annya ni yule aliesema "watu najiteka wenyewe". Si ulisiki hata polisi na tcra hawataki mahudhui ya maandamano ya nchi zingine zionekane Tanzania?
Nami hili nililiona..ujinga tu wa Diallo et al
 
Kijana, ngoja tuombe msaada wa AI

History of Andry Rajoelina​

Andry Rajoelina is a Malagasy politician and businessman who has dominated Malagasy politics for over a decade and experienced two significant power shifts, including a recent flight from the country.

  • Early Career: Rajoelina first gained national attention as a successful entrepreneur (former DJ and media mogul) before entering politics.
  • Mayor of Antananarivo (2007-2009): He was elected Mayor of the capital city. His clashes with then-President Marc Ravalomanana led to a major political crisis.
  • Rise to Power (2009 Coup):
    • Rajoelina led mass protests against Ravalomanana's government.
    • The political crisis culminated in the military-backed 2009 coup d'état, which forced Ravalomanana to resign and flee the country.
    • Rajoelina was installed as the President of the High Transitional Authority (HAT) and served in this capacity until 2014. This period was marked by international isolation and sanctions.
Nilijua tu ni mweupe na lugha inakupiga chenga. Rajoelina aliingia kwa maandamano lakini aliondolewa kidemokrasia na sasa hivi ameingia kidemokrasia kwa uchaguzi wa 2019 na baadae 2023. Kwahiyo kuondolewa kwa maandamano ya sasa ni sababu ya uongozi wa 2023-25 sio huko 2009.

Na sio kwamba alikua DJ ndio akawa Rais alishakua Mayor wa Mji Mkuu kwa miaka 2 kabla ya kupewa urais. Na ni bilionea aliekuwa anamiliki vyombo vya habari say Japhet Kusaga wa Madagascar!!

Tuwe tunatafuta facts sio ujuaji
 
Naona huelewi! Nini kilifuata siyo mada yangu. Mada yangu ni kuwa aliingia ikulu Kwa mara ya kwanza kupitia maamdamano. Na Leo anaondoka kupitia maamdamano. Umenipata dogo
 
Hata mimi imenishangaza kwa kweli,media kubwa za bongo zote ni waganga njaa wa ccm tu na unafiki wao ndiyo unaonekana hapo.
 
Naona huelewi! Nini kilifuata siyo mada yangu. Mada yangu ni kuwa aliingia ikulu Kwa mara ya kwanza kupitia maamdamano. Na Leo anaondoka kupitia maamdamano. Umenipata dogo
Aliondoka kwa uchaguzi na alirudi kwa uchaguzi, sielewi kwanini unaunganisha matukio yasiyokua na mfanano. Na ameshinda chaguzi 2 tokea aingie kwa maandamano pia 2014 hadi 2019 hakua rais ingawa hakutolewa kwa maandamano ila alipisha uchaguzi.
 
Mpaka IPP media nayo ni machawa,
Na super brand feki yao ya kununua.

Ipp ilikuwa ni mfano wa vyombo vya habari vyenye waledi wa Hali juu ,lakin wameumaliza mwendo

IPP inahujumiwa na wafanyakazi wake wenyewe.

Inasikitisha sana
 
Back
Top Bottom