Jeshi la Magereza lakanusha taarifa za Tundu Lissu kugoma kula

Kwa hiyo wewe unawaamini Tobo Lissu na genge lake?
Magereza wamepiga U-turn usijitoe ufahamu. Kwani siyo Lissu aliyesema atagoma kula kuanzia jumatatu?

Mawakili walizuiliwa huku wakili wa magereza akisema wanakata rufaa na kwahivyo hawawezi kutekeleza hiyo amri ya mahakama.

Wameona kinachafuka ndo maana.
 
Jeshi la Magereza nchini Tanzania limekanusha taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amegoma kula chakula akiwa gerezani na kwamba mawakili wake watatu wamezuiwa kumuona.

Akitoa taarifa kwa umma, Msemaji wa Jeshi la Magereza, Elizabeth Mbezi, amesema taarifa hizo si za kweli na zinalenga kupotosha umma.

Mbezi amesema Lissu yupo salama na hajaanza mgomo wa kula chakula kama inavyodaiwa kwenye mitandao ya kijamii.

Aidha, amesema mawakili wa Lissu wanaendelea kumuona kwa mujibu wa sheria na taratibu zilizowekwa.

Jeshi la Magereza limewataka wananchi kupuuza taarifa hizo na kujiepusha na kusambaza habari zisizothibitishwa, likionya kuwa usambazaji wa taarifa za aina hiyo unaweza kuwa kosa la kisheria.
Kauli hiyo ya Jeshi la Magereza imekuja siku nne baada ya Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Dk. Rugemeleza Nshala, kueleza kuwa Lissu...
Chanzo : Magereza

Pia soma: Lissu atangaza mgomo wa kula chakula kuanzia Jumatatu, 26/10/2026

Kitambi na mgomo wa kula wapi na wapi !!

Nilisema ikiwa kweli Mjomba katangaza mgomo wa kula basi yumkin mjomba Lissu haKufanya mawasiliano na Kitambi chenyewe

Tumbo au kitambi ndugu zangu ni kama Serikali kamili lenye kujiongoza yenyewe
Yoyote mwengine hawezi kuwa msemaji wake na kutoa tamko kwaniaba yake 🤠 🤠

Niamini tumbo Kitambi kitakuumbua mchana kweupe litakusonyota ukimbilie kwenye asusa
kubugia😳😳😳
 
Cheka sana ni muda wako huu. Halafu unaenda msikitini kusali ila moyoni umejaa shetani.
 
Njaa hainaga baunsa, lissu achilia mbali kugoma kula hata kufunga tu masaa 12 hawezi yule!!
 
chadema na dr nshala toeni taharuki mtaani mana wengine hawajanyoa nywele mpaka leo wanasubiri atoke
 
Jeshi la Magereza nchini Tanzania limekanusha taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amegoma kula chakula akiwa gerezani na kwamba mawakili wake watatu wamezuiwa kumuona.

Akitoa taarifa kwa umma, Msemaji wa Jeshi la Magereza, Elizabeth Mbezi, amesema taarifa hizo si za kweli na zinalenga kupotosha umma.

Mbezi amesema Lissu yupo salama na hajaanza mgomo wa kula chakula kama inavyodaiwa kwenye mitandao ya kijamii.

Aidha, amesema mawakili wa Lissu wanaendelea kumuona kwa mujibu wa sheria na taratibu zilizowekwa.

Jeshi la Magereza limewataka wananchi kupuuza taarifa hizo na kujiepusha na kusambaza habari zisizothibitishwa, likionya kuwa usambazaji wa taarifa za aina hiyo unaweza kuwa kosa la kisheria.
Kauli hiyo ya Jeshi la Magereza imekuja siku nne baada ya Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Dk. Rugemeleza Nshala, kueleza kuwa Lissu...
Chanzo : Magereza

Pia soma:
Lissu atangaza mgomo wa kula chakula kuanzia Jumatatu, 26/10/2026
Mama'e walahi, yaani askari jela naye anapiga mkwala, mamlaka yake yanaishia kwa wafungwa na askari jela wenzake.
 
Toèni ruhuusa akaonwe muda wa ķula țione kwa macho yetu hamuàminiki🤔
 
Unaona,nilijua tu huyo mtu hawezi kugoma kula huyo ni mbinafsi sana.
Haya walioshinda njaa vidole juu
 
Back
Top Bottom