Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
Magereza watengeneza neutral ground ambayo itawapa platform sawa, wao na Tundu Lissu ili ukweli ujulikane.Dah
Wewe uko gerezani na Lissu?
Hakuna mwenye mpango wa kumuua LissuMagereza watengeneza neutral ground ambayo itawapa platform sawa, wao na Tundu Lissu ili ukweli ujulikane.
Kinyume na hapo Magereza wana mpango wa kumuua Tundu Lissu kama ilivyowahi kuropotiwa hapo kabla
Hii nchi kwa sasa mamlaka zinaongoza kwa uongo.
Mnataka kumfanyaje? Na zile risasi 16 mwilini mwake lilikuwa ni jaribio la kumbusu mashavuni, eti ehhHakuna mwenye mpango wa kumuua Lissu
Yule siyo mshari, ni mtukutu tu…. Hao hawana madhara
Magereza wamepiga U-turn usijitoe ufahamu. Kwani siyo Lissu aliyesema atagoma kula kuanzia jumatatu?Kwa hiyo wewe unawaamini Tobo Lissu na genge lake?
Jeshi la Magereza nchini Tanzania limekanusha taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amegoma kula chakula akiwa gerezani na kwamba mawakili wake watatu wamezuiwa kumuona.
Akitoa taarifa kwa umma, Msemaji wa Jeshi la Magereza, Elizabeth Mbezi, amesema taarifa hizo si za kweli na zinalenga kupotosha umma.
Mbezi amesema Lissu yupo salama na hajaanza mgomo wa kula chakula kama inavyodaiwa kwenye mitandao ya kijamii.
Aidha, amesema mawakili wa Lissu wanaendelea kumuona kwa mujibu wa sheria na taratibu zilizowekwa.
Jeshi la Magereza limewataka wananchi kupuuza taarifa hizo na kujiepusha na kusambaza habari zisizothibitishwa, likionya kuwa usambazaji wa taarifa za aina hiyo unaweza kuwa kosa la kisheria.
Kauli hiyo ya Jeshi la Magereza imekuja siku nne baada ya Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Dk. Rugemeleza Nshala, kueleza kuwa Lissu...
Chanzo : Magereza
Pia soma: Lissu atangaza mgomo wa kula chakula kuanzia Jumatatu, 26/10/2026
Wewe nae kaa kimya. Mnajifanyaga machawa Hadi mnakera.kwahiyo tuseme huyu wakili nshala yuko juu ya sheria?,kama kaeneza taarifa ya uongo akiwa na nia ovu ya kuzua taharuki,kwanini hachukuliwi hatua,,au anaogopwa
Unataka tukuamini wewe.Kwa hiyo wewe unawaamini Tobo Lissu na genge lake?
Na wewe upo Gerezani na Lissu? Maana unabishaDah
Wewe uko gerezani na Lissu?
Kawaida yenu kebehi kwa wanaoumizwa.Kwahiyo jamaa anapiga vyuku kama kawaida?
Wewe chawa wasema. Ila alipotwangwa risasi ilikuwa ni utani.Hakuna mwenye mpango wa kumuua Lissu
Yule siyo mshari, ni mtukutu tu…. Hao hawana madhara
Cheka sana ni muda wako huu. Halafu unaenda msikitini kusali ila moyoni umejaa shetani.Kitambi na mgomo wa kula wapi na wapi !!
Nilisema ikiwa kweli Mjomba katangaza mgomo wa kula basi yumkin mjomba Lissu haKufanya mawasiliano na Kitambi chenyewe
Tumbo au kitambi ndugu zangu ni kama Serikali kamili lenye kujiongoza yenyewe
Yoyote mwengine hawezi kuwa msemaji wake na kutoa tamko kwaniaba yake 🤠 🤠
Niamini tumbo Kitambi kitakuumbua mchana kweupe litakusonyota ukimbilie kwenye asusa
kubugia😳😳😳
Mama'e walahi, yaani askari jela naye anapiga mkwala, mamlaka yake yanaishia kwa wafungwa na askari jela wenzake.Jeshi la Magereza nchini Tanzania limekanusha taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amegoma kula chakula akiwa gerezani na kwamba mawakili wake watatu wamezuiwa kumuona.
Akitoa taarifa kwa umma, Msemaji wa Jeshi la Magereza, Elizabeth Mbezi, amesema taarifa hizo si za kweli na zinalenga kupotosha umma.
Mbezi amesema Lissu yupo salama na hajaanza mgomo wa kula chakula kama inavyodaiwa kwenye mitandao ya kijamii.
Aidha, amesema mawakili wa Lissu wanaendelea kumuona kwa mujibu wa sheria na taratibu zilizowekwa.
Jeshi la Magereza limewataka wananchi kupuuza taarifa hizo na kujiepusha na kusambaza habari zisizothibitishwa, likionya kuwa usambazaji wa taarifa za aina hiyo unaweza kuwa kosa la kisheria.
Kauli hiyo ya Jeshi la Magereza imekuja siku nne baada ya Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Dk. Rugemeleza Nshala, kueleza kuwa Lissu...
Chanzo : Magereza
Pia soma: Lissu atangaza mgomo wa kula chakula kuanzia Jumatatu, 26/10/2026
That was unacceptable kabisaWewe chawa wasema. Ila alipotwangwa risasi ilikuwa ni utani.
Bado wakati wanguNa wewe upo Gerezani na Lissu? Maana unabisha
Jeshi la Magereza nchini Tanzania limekanusha taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amegoma kula chakula akiwa gerezani na kwamba mawakili wake watatu wamezuiwa kumuona.
Akitoa taarifa kwa umma, Msemaji wa Jeshi la Magereza, Elizabeth Mbezi, amesema taarifa hizo si za kweli na zinalenga kupotosha umma.
Mbezi amesema Lissu yupo salama na hajaanza mgomo wa kula chakula kama inavyodaiwa kwenye mitandao ya kijamii.
Aidha, amesema mawakili wa Lissu wanaendelea kumuona kwa mujibu wa sheria na taratibu zilizowekwa.
Jeshi la Magereza limewataka wananchi kupuuza taarifa hizo na kujiepusha na kusambaza habari zisizothibitishwa, likionya kuwa usambazaji wa taarifa za aina hiyo unaweza kuwa kosa la kisheria.
Kauli hiyo ya Jeshi la Magereza imekuja siku nne baada ya Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Dk. Rugemeleza Nshala, kueleza kuwa Lissu...
Chanzo : Magereza
Pia soma: Lissu atangaza mgomo wa kula chakula kuanzia Jumatatu, 26/10/2026
Toèni ruhuusa akaonwe muda wa ķula țione kwa macho yetu hamuàminiki🤔Jeshi la Magereza nchini Tanzania limekanusha taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amegoma kula chakula akiwa gerezani na kwamba mawakili wake watatu wamezuiwa kumuona.