Jeshi la mtu mmoja

Jeshi la mtu mmoja

Hyo ni email tu ninazo nyingi
Na namba ya simu unazo nyingi?
Screenshot_20230428-203256.png

Huoni kama mtu anapata details zako kirahisi hivi mzee?
 
Jamani watu wa humu jf naomba kuwaambia kuwa kuna kakikundi cha watu kameamua kunichafua kisa tu nmeweka id fake, nachojiuliza kwan ni lazma au muhimu kias gani kujmaliza hapa jamii forum kujaza full details zangu na tunajua humu ndani wakuda wengi na wazee wa kitengo wengi. SWALI JE KAMA NIKIHARIBU HUMU NDANI NAWAZEE WA KITENGO WAKINIDAKA MTAKUJA KUNITETEA AU NDO NYINYI MTAANZISHA NYUZI KUSEMA NILIKUA NAJIFANYA MJUAJI NA KUNIPA POLE NYINGI ZA KINAFIKI

Msimamo wangu ni kwamba ongeen chchte tu mkatacho ila usalama wangu muhimu kuliko kuwafurahisha nyinyi watu wachache

Nb: Sijawahi post nyuzi au comment yeyote ile inayooshiria mm ni mwanamke au nmeleft group sku zote nipo kama wanaume wengine humu jf na wambea tu ndo ufatilia personal details za watu
Hii ID ilianza kwa Kunishambulia ikiitwa annabelleztz47 ila baada ya kuona Moto wa GENTAMYCINE hauna Mpinzani hapa JamiiForums na Kushindwa Vita aliyoianzisha haraka sana ikabadilishwa na sasa inaitwa Munch wa annabelletz47

Sasa naamini Mashoga mna taabu.

Hovyoooooooo.....!!!!!!
 
Back
Top Bottom