Jeshi la Polisi: Aliyedaiwa Kutekwa aliuza gari alilokodi Ili kulipa madeni ya harusi.Uchunguzi unaendelea kubaini Alikopotelea

Watu tunapenda sifa sana, sasa unaingia kwenye madeni kisa fahari tu ya sherehe na saiv tayari upo kwenye head lines.
Kumbe hizi sherehe mjini hapa zina mambo mengi nyuma ya pazia..

Kule kenya nako mke na mme baada ya sherehe wakafanya tathmini wakagundua wamevuna hela ndogo na waliingia gharama kubwa, wote wakafariki tukaambiwa walijinyonga
 
Wanatupa taarifa ambayo haijakamilika ili iweje ?kamilisha uchunguzi ili utupe jibu sahihi.Gari huwezi kuuza siku Moja tu na kukamilisha Kila kitu labda polis wamemteka kama walivyomteka mzee kibao mchana kweupe
 
Gari kakutwa nayo mtu anadai aliuziwa na huyo massawe na alimpa milioni nane ili akimalizia milioni moja amkabidhi gari Mimi ni jirani na huyo massawe na mpaka polisi wanakuja kuchukua mkewe nilikuwepo.

Wewe unakataa gari halikuuzwa kivipi?
 
Masawe mwenyewe anainekana janjajanja
Madalali wa magari wengi wezi wezi waongo waongo

Ova
 
Bahati mbaya sana jeshi letu la polisi limechafuka sana na haliaminiki tena
 
Siku zote fanya mambo kutokana na uwezo wako,ona sasa aibu ya mwaka hii,kuna wanandoa fulani nao baada ya ndoa wakajikuta wana deni la milioni 30,,yote kutaka sifa tu

Kuhusu gari kuuzwa hiyo mbona ipo sana tu,watu wanacheza na vijana ambao sio waaminifu wa TRA,kuna tukio kama hilo lilitokea mtu akauziwa gari yake kwa michezo hiyo hiyo,lkn alikomaa mpaka vijana kadhaa wa TRA wakapoteza kazi
 
Gari kakutwa nayo mtu anadai aliuziwa na huyo massawe na alimpa milioni nane ili akimalizia milioni moja amkabidhi gari Mimi ni jirani na huyo massawe na mpaka polisi wanakuja kuchukua mkewe nilikuwepo.

Wewe unakataa gari halikuuzwa kivipi?
we unadhani gar linauzwa kama viazi hio taarifa watameza wajinga kama ilivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…