Jeshi la Polisi: Aliyedaiwa Kutekwa aliuza gari alilokodi Ili kulipa madeni ya harusi.Uchunguzi unaendelea kubaini Alikopotelea

U - bishow utatumaliza. Funga ndoa ya serikali, tumia dala dala kwenda wilayani, mkimaliza mnakutana nyumbani, majirani tu wajulishwe na biashara imeisha. Nasema wilayani ili kuepuka huu mlolongo wa kanisa, mara huhudhurii jumuiya, hutoi zaka na michango lukuki.
 
Unaelewa ulichoandika kwamba hakina uhusiano kabisa na uzi? Unaelewa kwamba taarifa ya Polisi ni uongo kabisa, na unataarifa kwamba jamaa wameshamuua na maiti Iko mortuary!? Muwe manasoma na kutafakari sana vinginevyo mnayoyaandika yanawaongezea kiu ya damu kwani wanajua hakuna mjualo!
 
Attachments

  • IMG-20241216-WA0008.jpg
    IMG-20241216-WA0008.jpg
    57.8 KB · Views: 3
Mwenye Gari hakulalamika au kufungua kesi ya kuuzia Gari yake?
 
Gari kakutwa nayo mtu anadai aliuziwa na huyo massawe na alimpa milioni nane ili akimalizia milioni moja amkabidhi gari Mimi ni jirani na huyo massawe na mpaka polisi wanakuja kuchukua mkewe nilikuwepo.

Wewe unakataa gari halikuuzwa kivipi?
Kadi ya gari la kukodi aliitoa wapi? Au mnunuzi alitoka shamba na ndio gari lake la kwanza
 
Unaelewa ulichoandika kwamba hakina uhusiano kabisa na uzi? Unaelewa kwamba taarifa ya Polisi ni uongo kabisa, na unataarifa kwamba jamaa wameshamuua na maiti Iko mortuary!? Muwe manasoma na kutafakari sana vinginevyo mnayoyaandika yanawaongezea kiu ya damu kwani wanajua hakuna mjualo!
Ulomi na Masawe ni watu wawili tofauti, fuatilia vizuri aliyeuwawa Ulomi hana uhusiano wowote na hii mada
 
Back
Top Bottom