Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mkakati ni kuua mmoja kila WikiHuyu keshapatikana akiwa marehemu tayariğŸ˜View attachment 3178059
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkakati ni kuua mmoja kila WikiHuyu keshapatikana akiwa marehemu tayariğŸ˜View attachment 3178059
Unaelewa ulichoandika kwamba hakina uhusiano kabisa na uzi? Unaelewa kwamba taarifa ya Polisi ni uongo kabisa, na unataarifa kwamba jamaa wameshamuua na maiti Iko mortuary!? Muwe manasoma na kutafakari sana vinginevyo mnayoyaandika yanawaongezea kiu ya damu kwani wanajua hakuna mjualo!U - bishow utatumaliza. Funga ndoa ya serikali, tumia dala dala kwenda wilayani, mkimaliza mnakutana nyumbani, majirani tu wajulishwe na biashara imeisha. Nasema wilayani ili kuepuka huu mlolongo wa kanisa, mara huhudhurii jumuiya, hutoi zaka na michango lukuki.
Maswali magumu hayo ambayo ukiwahoji polisi wanakuuwa na weweMwenye Gari hakulalamika au kufungua kesi ya kuuzia Gari yake?
Kadi ya gari la kukodi aliitoa wapi? Au mnunuzi alitoka shamba na ndio gari lake la kwanzaGari kakutwa nayo mtu anadai aliuziwa na huyo massawe na alimpa milioni nane ili akimalizia milioni moja amkabidhi gari Mimi ni jirani na huyo massawe na mpaka polisi wanakuja kuchukua mkewe nilikuwepo.
Wewe unakataa gari halikuuzwa kivipi?
Ulomi na Masawe ni watu wawili tofauti, fuatilia vizuri aliyeuwawa Ulomi hana uhusiano wowote na hii madaUnaelewa ulichoandika kwamba hakina uhusiano kabisa na uzi? Unaelewa kwamba taarifa ya Polisi ni uongo kabisa, na unataarifa kwamba jamaa wameshamuua na maiti Iko mortuary!? Muwe manasoma na kutafakari sana vinginevyo mnayoyaandika yanawaongezea kiu ya damu kwani wanajua hakuna mjualo!
Kadi ya gari la kukodi aliitoa wapi? Au mnunuzi alitoka shamba na ndio gari lake la kwanza