Watanzania kwenye kushauri hamjambo.Nilimeisha shauri humu lianzishwe jukwaa la usalama barabarani. Ili watu waweke kwenye jukwaa hilo kero, pongezi na mengineyo juu ya usalama barabarani. Nina imani hata mkuu wa usalama barabarani nchini atakuwa anawahi kuangalia kwenye jukwaa hilo na kuchukua hatua. Nadhani moderators bado wanafanyia kazi ushauri wangu.
Habari za adhuhuri Mkuu.Watanzania kwenye kushauri hamjambo.
Na ushauri wenu usipofatwa mnawaka.
Wewe hukuwa na GPS track ya kugundua speed ya gari unatumia hisia tu kuleta matatizo siku mabasi yakikosekana utasafiri na punda?Wiki iliyopita nimepanda basi hili nikitokea Arusha kuelekea Kahama. Aisee hili basi linakimbia saana.
Nina wasiwasi kama limefungwa speed governor manake mwendo wake ni zaidi ya speed 100km/h hasa likiwa kwenye bara bara zisizokuwa na traffic wengi.
Kazi kwgeshjeshi la polisi kabla halijachinja chinja.
sikuwa nimepata mda wa kuingia online..arafu mabasi ya mikoni inaonekana hayana number simu za polisi kama yalivyo mabasi ya barabara kuu na ndio yanaua saana....sio kila andiko lazima kucomment wakati mwingine kukaa kimya ni busara zaidiMambo ya wiki iliyopita unayaleta leo ulitakiwa kureport on spot
Sasa wakisema umetumwa kuharibu biashara za watu una utetezi?
Nami pia nawaomba wafanyie kazi wazo hili na tena lianzishwe mapema sana litasaidia saana kwa kiasi fulani na kuokoa maisha ya watu na kadhia mbalimbali za wasafiri.Nilimeisha shauri humu lianzishwe jukwaa la usalama barabarani. Ili watu waweke kwenye jukwaa hilo kero, pongezi na mengineyo juu ya usalama barabarani. Nina imani hata mkuu wa usalama barabarani nchini atakuwa anawahi kuangalia kwenye jukwaa hilo na kuchukua hatua. Nadhani moderators bado wanafanyia kazi ushauri wangu.
kama sikosei wewe utakuwa shabiki wa Arsenal...Wewe hukuwa na GPS track ya kugundua speed ya gari unatumia hisia tu kuleta matatizo siku mabasi yakikosekana utasafiri na punda?
Anatolea sehemu husika? Ana ushahidi au kuchafua tu biashara ya watu?Comments za baadhi ya watu humu kwa kweli zinasikitisha sana.......
Kweli milembe wanapelekwa wazima vichaa wanaachwa tunaishi nao mitaani.......
Yaani mtu anatoa taarifa ambayo ikifanyiwa kazi inaweza kuokoa maisha na mali za watu lakini kuna baadhi ya Wana mbeza na kumzodoa......ndugu zangu tunaelekea wapi.........
Mwanaume unakaa na umbea tu unazani polisi ndio wanaoweka vizibiti mwendo, nenda Latra kalalamike,kama sikosei wewe utakuwa shabiki wa Arsenal...
Inawezekana isiwe sehemu husika lakini ikawa ndio chanzo Cha kufika sehemu husika......kimsingi suala linalohusisha maisha na mali za watu ni suala nyeti......wewe unajua sehemu husika sio vibaya kuzipeleka kwani utakuwa umetimiza wajibu wako kama raia mwema.......Anatolea sehemu husika? Ana ushahidi au kuchafua tu biashara ya watu?