Jeshi la Polisi angalieni basi la Arusha Express linalofanya safari za Arusha - Bukoba

Jeshi la Polisi angalieni basi la Arusha Express linalofanya safari za Arusha - Bukoba

Naona sasa imefika wakati muafaka wa Bajaji kuruhusiwa kupiga root!
Mbeya to DSM/Return
DSM to Bukoba/Return
DSM to Mwanza/Return
 
Arusha bukoba kuna mwendo aisee 80Km kwa Saa hatutafika leo ukijumlisha matuta Vibao vya 50km lazima wakimbie nilishatoka Bukoba kuja Dar aisee jamaa alikuwa anafika mpaka 130 lakini yote na bado hakufika kwa wakati
 
Wiki iliyopita nimepanda basi hili nikitokea Arusha kuelekea Kahama. Aisee hili basi linakimbia saana.

Nina wasiwasi kama limefungwa speed governor manake mwendo wake ni zaidi ya speed 100km/h hasa likiwa kwenye bara bara zisizokuwa na traffic wengi.

Kazi kwenu jeshi la polisi kabla halijachinja chinja.

Ukiona hivyo ni jamaa lenye shati ya kijani linakodolea 2025.

Mnakera sana na Mama aendelee kuyafurusha tu!
 
Back
Top Bottom