okeyJeshi la polisi limesema linafanya uchunguzi kifo cha Viollete Uwumuhoza, raia wa Rwanda, aliyefariki tarehe 7 Januari, 2026 baada ya kujinyonga akiwa mahabusu katika kituo cha Polisi Jijini Arusha, alikokuwa akishikiliwa kwa kosa la kuingia na kuishi nchini kinyume cha sheria. Polisi wamesema uchunguzi wa haraka na wa kisayansi unaendelea ili kubaini mazingira kamili ya tukio hilo.
asijekuwa alikuwa JASUSI nimewaza tu sinauhakika.Jeshi la polisi limesema linafanya uchunguzi kifo cha Viollete Uwumuhoza, raia wa Rwanda, aliyefariki tarehe 7 Januari, 2026 baada ya kujinyonga akiwa mahabusu katika kituo cha Polisi Jijini Arusha, alikokuwa akishikiliwa kwa kosa la kuingia na kuishi nchini kinyume cha sheria. Polisi wamesema uchunguzi wa haraka na wa kisayansi unaendelea ili kubaini mazingira kamili ya tukio hilo.
Hakujinyonga, amenyongwa. Story hizi ni za kila leo ndani ya jeshi la polisi!Jeshi la polisi limesema linafanya uchunguzi kifo cha Viollete Uwumuhoza, raia wa Rwanda, aliyefariki tarehe 7 Januari, 2026 baada ya kujinyonga akiwa mahabusu katika kituo cha Polisi Jijini Arusha, alikokuwa akishikiliwa kwa kosa la kuingia na kuishi nchini kinyume cha sheria. Polisi wamesema uchunguzi wa haraka na wa kisayansi unaendelea ili kubaini mazingira kamili ya tukio hilo.
Na si ajabu ikawa ni tamaa ya vitu au fedha.These chaps are hooligans!Hakujinyonga, amenyongwa. Story hizi ni za kila leo ndani ya jeshi la polisi!