Jeshi La Polisi: Dafroza Jacob aliugua ghafla wakati anaandika maelezo. Alifariki wakati anapatiwa matibabu

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wakuu,

Jeshi la Polisi Tarime/Rorya limethibitisha kifo cha Dafroza Kokwangua Jacob maarufu Mama Frank, aliyefariki baada ya kuugua ghafla akiwa kituoni akiandika maelezo.

Polisi wamesema uchunguzi utafanyika kubaini chanzo cha kifo

ta.png
 
Mwanzoni nilikuwa nahisi tu. Ila kwa kupitia haya maandamamano, nawashauri raia make mbali na hao viumbe. Yaani kama umempangisha chumba, ni bora tu ukamtimua.

Kiufupi hao siyo binadamu waliokamilika! Hao viumbe nusu ya miili yao ni mbwa mwitu wakali. Kwao kuua binadamu asiye na hatia, siyo ishu hata kidogo.
 
Alikufa aliokuwa anachukuliwa elezo au aekufa akiwa anapatiwa matibabu?
 
Wakuu,

Jeshi la Polisi Tarime/Rorya limethibitisha kifo cha Dafroza Kokwangua Jacob maarufu Mama Frank, aliyefariki baada ya kuugua ghafla akiwa kituoni akiandika maelezo.

Polisi wamesema uchunguzi utafanyika kubaini chanzo cha kifo

View attachment 3497711
Wakati mwingine unashindwa hata kuwaonea huruma Tundu Lissu alishawaambia wakasupaza shingo,kwa hii serikali ya polisi CCM hakutakuwa na uchaguzi wa uhuru na haki
 
Inahitaji akili ya mwendawazimu kuwaamini polisi wa Tanzania
 
Wakuu,

Jeshi la Polisi Tarime/Rorya limethibitisha kifo cha Dafroza Kokwangua Jacob maarufu Mama Frank, aliyefariki baada ya kuugua ghafla akiwa kituoni akiandika maelezo.

Polisi wamesema uchunguzi utafanyika kubaini chanzo cha kifo

View attachment 3497711
Mwandishi wa jeshi anaandika kwa Kiswahili cha nchi gani? Eti ''akiandikwa'' maelezo yake
 
Back
Top Bottom