Jeshi La Polisi: Dafroza Jacob aliugua ghafla wakati anaandika maelezo. Alifariki wakati anapatiwa matibabu

Jeshi La Polisi: Dafroza Jacob aliugua ghafla wakati anaandika maelezo. Alifariki wakati anapatiwa matibabu

Wakati mwingine unashindwa hata kuwaonea huruma Tundu Lissu alishawaambia wakasupaza shingo,kwa hii serikali ya polisi CCM hakutakuwa na uchaguzi wa uhuru na haki
Sawa hakutakuwa na uchaguzi wa uhuru na haki Je suluhisho ni nini?
 
Wakuu,

Jeshi la Polisi Tarime/Rorya limethibitisha kifo cha Dafroza Kokwangua Jacob maarufu Mama Frank, aliyefariki baada ya kuugua ghafla akiwa kituoni akiandika maelezo.

Polisi wamesema uchunguzi utafanyika kubaini chanzo cha kifo

View attachment 3497711

Sijui mpaka wake wangapi ndipo watajua kuwa hawawezi kuwazuia watu.
 
Serikali isipobadilika maandamano yajayo yatakuwa sio kuchoma au kuharibu miundombinu inaweza kuwa vita kati ya polis na wananchi.Polisi wanawinda watu na watu wanawinda polisi
 
Back
Top Bottom