Tena waseme hata Moroto alikuwa kati ya waliompiga ngwala ....Wengi wao mnaokomenti humu naona hamuijui michezo ya kisiasa!.. na hili litawapa tabu sana!..
Ombi langu kwa chadema ni kuwa nao waonyeshe ni namna gani wanacheza na hili ili wajisafishe sio kukaa kulialia tu.. Kama hawajui michezo ya siasa Basi wajue kila siku watakuwa wanapigwa tu..
Dunia ya leo sio tu ya kukaa na kuanza kulialia hasa ktk ulingo wa siasa unamambo mengi.. ukiwa na uwezo wa kufanya mashambulizi ni lazima ujue na kujikinga..
Habari nzima imenishangaza hili, yaani huyu ndio tunayempa nchi ili hali hata protocols rahisi za familia hazijui??? Dahh.Kimada Joyce Mukya ana nguvu kuliko hata mtoto wa kumzaa wa Mbowe.
Mke wa ndoa wa Mbowe Ni daktari Tena bingwa akaona taarifa hizo zimfikie kimada sio mkewe wa ndoa Wala mwanawe.
Maisha haya puuuui.
Pole Sana mke wa ndoa wa Mbowe
Imekuaje mbowe kashambuliwa badala ya kwenda polisi kaenda kwa joyce mukya?How do they prove ni uongo?
Inaonekana huo mtaa wanaoishi una population ndogo sana,,lisu alipigwa risasi mchana peupe,hakuna mtu alishuhudia,iwe hausegal,hausboi,au majirani wa eneo hilo.
Iwe saa saba usiku ndo utarajie eti watu wataona kweli?
Suala hapa ni kudanganya umma kuwa alivamiwa,which everyone could have done that, first to protect his family and second to protect his image..ukiniquote uniambie what could you have done in this scenario??? otherwise kuchepuka wanaume wengi wanachepuka, wengine mmecomment kwenye hii thread na mnachepuka hata mkulu wenu wa pale magogoni anachepuka tena yeye its even worse kamzalisha mke wa mtu!!!!!
Mwenyekiti kwenye ubora wake [emoji23][emoji1787][emoji2960]
Ni madaktari tu ndo wanaweza juu jeraha la kupigwa na kuvunjika ama ajali,,kama alipigwa migumi,fimbo,etc madaktari ndo watatoa jibu sahii na wala sio kukisia kwamba alianguka kwenye ngazi pasipo huo ushahidi wa kuanguka,,tujaribu kutenda haki walau kidogo japokuwa ni mpinzani lakini bado ni mtuNi kosa kulidanganya jeshi la polisi au hujui kuwa Ni kosa?
Kapicha tafadhari, huyu mama huwa anaenda bungeni kweli? Maana hajawahi kuzungumza au kuuliza swali na Wala sijawahi kumuona akiandamana na wenzake wakati wa kususia vikao vya bunge.Joyce Mukya ni kisu balaa, hata ningekuwa mm ndio Mbowe nisingemuacha
Bora kuachika kuliko kudharirishwa yy na watoto wake.Ukimponza mwenzako akaachika nafasi yake utaenda kuziba wewe?
Yule wa Wizara ya afya ni wa nani? Yule muigizaji sasa ni DC ni wa nani? Cheupe dawa? mbona malaya wengi?Atafutwe na nani
Zaidi ya Umalaya wake
Imekuaje mbowe kashambuliwa badala ya kwenda polisi kaenda kwa joyce mukya?
Na baada ya hapo akaenda kwenye ki hospitali kidogo kabisa
Bwana Mbowe Sijui atamueleza nini mkewe,nyumba ndogo ina nguvu kuliko mke wa ndoa
Sasa ulitaka aende wapi kupata msaada wa kwenda hospital?,pia hakuna sheria inayomlazimisha kwenda Benjamin mkapa hospitalImekuaje mbowe kashambuliwa badala ya kwenda polisi kaenda kwa joyce mukya?
Na baada ya hapo akaenda kwenye ki hospitali kidogo kabisa
Bwana Mbowe Sijui atamueleza nini mkewe,nyumba ndogo ina nguvu kuliko mke wa ndoa
Hapa anayeongelewa ni Mbowe mbona mnahamisha mada?Hata Tundu Lissu alikuwa amelewa chakariii akajipiga marisasi.
Na kama angelikuwa amelewa, asingeliita attention ya watu. Kwani kutibiwa kimya kimya ilishindikana nini? Mbona Marais wanalewa kimya kimya?TUWE N AKIBA YA MANENO, USHAHIDI WA KIDAKTARI NI MUHIMU UTHIBITISHE KAMA KWELI UKIANGUKA KWENYE NGAZI HUUMI KISOGO BALI UTAUMIA MGUU WA KULIA HADI KUFANYIWA OPERATION.
TUNASUBIRI.
Bado wanataka uchunguzi huru!Kimada Joyce Mukya ana nguvu kuliko hata mtoto wa kumzaa wa Mbowe.
Mke wa ndoa wa Mbowe Ni daktari Tena bingwa akaona taarifa hizo zimfikie kimada sio mkewe wa ndoa Wala mwanawe.
Maisha haya puuuui.
Pole Sana mke wa ndoa wa Mbowe
Kwa hiyo joyce mukya ni nesi?Sasa ulitaka aende wapi kupata msaada wa kwenda hospital?,pia hakuna sheria inayomlazimisha kwenda Benjamin mkapa hospital