Tena waseme hata Moroto alikuwa kati ya waliompiga ngwala ....Wengi wao mnaokomenti humu naona hamuijui michezo ya kisiasa!.. na hili litawapa tabu sana!..
Ombi langu kwa chadema ni kuwa nao waonyeshe ni namna gani wanacheza na hili ili wajisafishe sio kukaa kulialia tu.. Kama hawajui michezo ya siasa Basi wajue kila siku watakuwa wanapigwa tu..
Dunia ya leo sio tu ya kukaa na kuanza kulialia hasa ktk ulingo wa siasa unamambo mengi.. ukiwa na uwezo wa kufanya mashambulizi ni lazima ujue na kujikinga..