Unauliza cctv bongo?,,hizo vitu hazipo
Kuna watchmen,hawakuona wala kusikia,hao washambuliaji wamepenyea wapi?Bado najaribu kujiuliza kwanini CCTV footage zinakwepwa kwenye hili tukio. Haya mengine ni sehemu tu kuupata ukweli. Lakini ukweli halisi ni kupatikana CCTV footage, kisha kila mtu ataanza kuweka ukweli wake kuanzia hapo.
Wangu ni mama yako mchumba wanguNi wa Babako
Ni kweli bila baba mkwe Mzee Mtei Mbowe asingekuwa hapo alipo .Na bila huyu mke wa Mbowe, dj asingepewa chama leo hii anamdhalilisha
Aibuuuuu.Mbowe mavi yako. Kweli wewe ni msaliti kwa watanzania. Mtu anaemcheat mkewe wa ndoa atashindwa vipi kuwacheat watanzania ?Ibholo lyako. π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘ππ
Mbowe pia anazo cctv zake binafsi, na zina cover sehemu ya tukio, aziweke wazi.CCTV camera footage zinasemaje?
Ni dokta love... π π πKwa hiyo joyce mukya ni nesi?
Kweli kabisa!Na kama angelikuwa amelewa, asingeliita attention ya watu. Kwani kutibiwa kimya kimya ilishindikana nini? Mbona Marais wanalewa kimya kimya?
Madaktari wanaendeshwa na mihemko ya kisiasa na utashu wa Wana siasa wa the CHAMA chakavuTUWE N AKIBA YA MANENO, USHAHIDI WA KIDAKTARI NI MUHIMU UTHIBITISHE KAMA KWELI UKIANGUKA KWENYE NGAZI HUUMI KISOGO BALI UTAUMIA MGUU WA KULIA HADI KUFANYIWA OPERATION.
TUNASUBIRI.
Ni uzembe mkubwa,dreva anatakuwa ahakikishe boss kaingia ndani na mlango umefungwa ndipo ageuze,hawa watu wanafanya vitu locally sanaDah,huyu ni kiongozi wa juu sana wa chama,sasa kwenye hizo kumbi za starehe usiku alikua anatafuta nini?na walinzi wake nao walikuwa wapi?mi nadhani walinzi wake wana cha kujibu hapo,wanawezaje kumuacha bosi getini kabla hajaingia ndani,huu ni uzembe wa hali ya juu kama kweli walikuwepo...
Sent using Jamii Forums mobile app