stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 17,216
- 26,225
Dah,huyu ni kiongozi wa juu sana wa chama,sasa kwenye hizo kumbi za starehe usiku alikua anatafuta nini?na walinzi wake nao walikuwa wapi?mi nadhani walinzi wake wana cha kujibu hapo,wanawezaje kumuacha bosi getini kabla hajaingia ndani,huu ni uzembe wa hali ya juu kama kweli walikuwepo...
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app