Utamshitaki vipi mtu aliyekuwa amelewa chakari????????????????????????????????????????????///////kwakweli Mbowe akipona majeraha ya kuanguka ashitakiwe kwa kuuhadaa umma ma jeshi la polisi. iweje mtu katoka kwenye starehe zake halafu aanze kuzusha.?!
jeshi la polisi na umma haupaswi kusikiliza na kuamini maneno ya mlevi chakari...kwani mlevi chakari anaweza kutamka neno lolote lile bila yeye kujitambua...hivyo maneno aliyo yatoa mbowe ya kuvamiwa huku akiwa amelewa chakarii si ya kuaminiwa kamwe
Ndio Nkya huyu mkuu?
Angalia unakoenda utakumbusha ya Sundi Malomo bureHuyu mwanamke ameteswa sana na Mbowe sema ndio hivyo ni mvumiluvu
Unasema kweli kabisa. Mchezo mchafu unachezwa kichafu vilevile. Kama wanataka kuhusisha Mbowe kuzaa na Mkuya na uongo wao, waulizwe mapenzi ya hiari ni dhambi kama kumbaka shemeji yaani Dada wa mama J hadi kumzalisha?Wengi wao mnaokomenti humu naona hamuijui michezo ya kisiasa!.. na hili litawapa tabu sana!..
Ombi langu kwa chadema ni kuwa nao waonyeshe ni namna gani wanacheza na hili ili wajisafishe sio kukaa kulialia tu.. Kama hawajui michezo ya siasa Basi wajue kila siku watakuwa wanapigwa tu..
Dunia ya leo sio tu ya kukaa na kuanza kulialia hasa ktk ulingo wa siasa unamambo mengi.. ukiwa na uwezo wa kufanya mashambulizi ni lazima ujue na kujikinga..
Angalia unakoenda utakumbusha ya Sundi Malomo bure
Vipi kuhusu dreva,,huyu ndo atatoa mwanga,maana kwa mujibu wa ripoti,mbowe alipiga kelele,dreva ndo mtu wa kwanza on scene,,hivyo itakuwa alikua hata hajaondoka pale.kwakweli Mbowe akipona majeraha ya kuanguka ashitakiwe kwa kuuhadaa umma ma jeshi la polisi. iweje mtu katoka kwenye starehe zake halafu aanze kuzusha.?!
jeshi la polisi na umma haupaswi kusikiliza na kuamini maneno ya mlevi chakari...kwani mlevi chakari anaweza kutamka neno lolote lile bila yeye kujitambua...hivyo maneno aliyo yatoa mbowe ya kuvamiwa huku akiwa amelewa chakarii si ya kuaminiwa kamwe
Ukweli ni kuwa walishindwa kulificha hilo, ukishapelekwa hospitali yoyote ni lazima uripoti polisi. Na kiongozi wa hali hiyo, na mtu tajiri kiasi hicho, hakubali kutibiwa ovyo, wanapenda kuishi muda mrefu.Unadhani walishindwa kumuuguza kimya kimya bila mtu kujua kama kuna issues kama hizo? ? Nani angelijua hayo ya ulevi?
Ila wewe ni tofauti na wenzako Lumumba/Mataga, umejaribu kujenga hoja.
Hao hawajawahi kusingizia kupigwaYule wa Wizara ya afya ni wa nani? Yule muigizaji sasa ni DC ni wa nani? Cheupe dawa? mbona malaya wengi?
Wewe umekuja mjini lini? Humjui hata Sundi mama yenu mdogo? Au nyie wa juzi mnamjua yule wa kule iliko Minaki Sec?Ndio nani
Mkuu viongozi wetu wanapoanzisha uzushi wenye nia ya kuchafua nchi yetu wawe wanawaandaa wafuasi wao kusikia kile ambacho hawakukitegemea
Kama hamuamini uchunguzi wa polisi mlitaka nani afanye huu uchunguzi,juzi tu kamanda mloto alipotoa maoni yake juu ya maigizo ya DJ mbowe mlishangilia
Leo hii lipoti imekuja tofauti na matumaini yenu mnaanza kulalama,poleni sana
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Ndio nani
Hivi wewe kusoma hujui hata picha huoni?Bado najaribu kujiuliza kwanini CCTV footage zinakwepwa kwenye hili tukio. Haya mengine ni sehemu tu kuupata ukweli. Lakini ukweli halisi ni kupatikana CCTV footage, kisha kila mtu ataanza kuweka ukweli wake kuanzia hapo.
Mbowe ni mlevi full stopNa kama angelikuwa amelewa, asingeliita attention ya watu. Kwani kutibiwa kimya kimya ilishindikana nini? Mbona Marais wanalewa kimya kimya?
Ila mbaya sana kunyang'anyana na kina Ally Kiba, Hasheem Thabit nk. kwa ubabe wa kutumia ofisi na kugawa cheo.Hao hawajawahi kusingizia kupigwa
You are not objective, ushindwe kuficha? Kuanguka ni kosa? Kulea ni kosa? Mbona unanipeleka kuanza kukufikiria kinyume na nilivyokuwa nakufikiria? Kosa gani alifanya? Mtu mwenye pesa ashindwe kuficha ulevi? ashindwe kuficha kuanguka/kuvunjika?Ukweli ni kuwa walishindwa kulificha hilo, ukishapelekwa hospitali yoyote ni lazima uripoti polisi. Na kiongozi wa hali hiyo, na mtu tajiri kiasi hicho, hakubali kutibiwa ovyo, wanapenda kuishi muda mrefu.
Ndugu hili lilikuwa kosa, na watu wote walikuwa katika hali ya starehe, kwa hivyo wakajisahau na wakati kama huo vinywaji vinaporomoka vizuri kabisa , na bila kujijua unajikuta mtu uko chakari.
Moja ya vitu anajivunia Mbowe ni kuwa na watetezi viazi namna hiiPolisi wameamua Kuja na taarfa ambazo mtu kama mimi mchunga ng'ombe naweza kuztoa toka malishoni Bila comnvincing evidence?watu waliosomeshwa kwa kodi za wanyonge wameamua Kuja na majibu mepesi kiasi hiki?
Unaweza tumia facts za kitoto kujustify ukweli wa tukio lile?...
Niliapa mwanangu asome sana...ila kama atakuja niambie ni msomi wa kiasi cha kuingia kwenye kazi fulani fulani ikiwemo hii basi...ajue si mtoto wangu asilani!! Hakuna kitu kinauma nimetumia gharama zangu kupika ubongo wa mtoto halafu aje ageuke hivi stakubali!!!
Nilitegemea wawambie wananchi kwa kutumia footage camera tukio Zima lilivokua kama movement za watu zilikuepo au lah picha zongeonyesha..kweli MTAA mzima cctv Kamera hazikuepo?je nyumba haikua na Kamera ili kujustify tukio lile? Msomi unaweza Sema jirani ndy uthibitisho je kama jirani ni adui yako?
Sjui taifa linaelekea wapi..kudharilishana kufedheheshana imegeuka desturi katka taifa la Mwlm Nyerere!!! ?
Mjibu swali lake kwanza, angeshindwa kujitibia kimya kimya?Mbowe ni mlevi full stop
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nisaidie kumtag bibi Sky tafadhaliAibuuuuu.Mbowe mavi yako. Kweli wewe ni msaliti kwa watanzania. Mtu anaemcheat mkewe wa ndoa atashindwa vipi kuwacheat watanzania ?Ibholo lyako. [emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji115][emoji115]
Je kuna mtu anategemea baada ya ile "verdict" iliyotolewa na lile kundi la mipasho bungeni Polisi wangekuwa na ubavu wa kutoa kauli nyingine?