Jeshi la Polisi: Hakuna ushahidi kuwa Freeman Mbowe alishambuliwa. Alikuwa ametoka kwa Joyce Mukya. Alikuwa amelewa chakari

Jeshi la Polisi: Hakuna ushahidi kuwa Freeman Mbowe alishambuliwa. Alikuwa ametoka kwa Joyce Mukya. Alikuwa amelewa chakari

kwakweli Mbowe akipona majeraha ya kuanguka ashitakiwe kwa kuuhadaa umma ma jeshi la polisi. iweje mtu katoka kwenye starehe zake halafu aanze kuzusha.?!
jeshi la polisi na umma haupaswi kusikiliza na kuamini maneno ya mlevi chakari...kwani mlevi chakari anaweza kutamka neno lolote lile bila yeye kujitambua...hivyo maneno aliyo yatoa mbowe ya kuvamiwa huku akiwa amelewa chakarii si ya kuaminiwa kamwe
Utamshitaki vipi mtu aliyekuwa amelewa chakari????????????????????????????????????????????///////
 
Wengi wao mnaokomenti humu naona hamuijui michezo ya kisiasa!.. na hili litawapa tabu sana!..

Ombi langu kwa chadema ni kuwa nao waonyeshe ni namna gani wanacheza na hili ili wajisafishe sio kukaa kulialia tu.. Kama hawajui michezo ya siasa Basi wajue kila siku watakuwa wanapigwa tu..

Dunia ya leo sio tu ya kukaa na kuanza kulialia hasa ktk ulingo wa siasa unamambo mengi.. ukiwa na uwezo wa kufanya mashambulizi ni lazima ujue na kujikinga..
Unasema kweli kabisa. Mchezo mchafu unachezwa kichafu vilevile. Kama wanataka kuhusisha Mbowe kuzaa na Mkuya na uongo wao, waulizwe mapenzi ya hiari ni dhambi kama kumbaka shemeji yaani Dada wa mama J hadi kumzalisha?
Tutaonana wabaya humu!
 
kwakweli Mbowe akipona majeraha ya kuanguka ashitakiwe kwa kuuhadaa umma ma jeshi la polisi. iweje mtu katoka kwenye starehe zake halafu aanze kuzusha.?!
jeshi la polisi na umma haupaswi kusikiliza na kuamini maneno ya mlevi chakari...kwani mlevi chakari anaweza kutamka neno lolote lile bila yeye kujitambua...hivyo maneno aliyo yatoa mbowe ya kuvamiwa huku akiwa amelewa chakarii si ya kuaminiwa kamwe
Vipi kuhusu dreva,,huyu ndo atatoa mwanga,maana kwa mujibu wa ripoti,mbowe alipiga kelele,dreva ndo mtu wa kwanza on scene,,hivyo itakuwa alikua hata hajaondoka pale.
 
Unadhani walishindwa kumuuguza kimya kimya bila mtu kujua kama kuna issues kama hizo? ? Nani angelijua hayo ya ulevi?
Ila wewe ni tofauti na wenzako Lumumba/Mataga, umejaribu kujenga hoja.
Ukweli ni kuwa walishindwa kulificha hilo, ukishapelekwa hospitali yoyote ni lazima uripoti polisi. Na kiongozi wa hali hiyo, na mtu tajiri kiasi hicho, hakubali kutibiwa ovyo, wanapenda kuishi muda mrefu.

Ndugu hili lilikuwa kosa, na watu wote walikuwa katika hali ya starehe, kwa hivyo wakajisahau na wakati kama huo vinywaji vinaporomoka vizuri kabisa , na bila kujijua unajikuta mtu uko chakari.
 
Hii ni aibu kwa Kiongozi mkubwa Kama Mbowe kama kuna namna tume ya maadili ya viongozi wa Umma inaweza kufanya kitu ifanye
 
Mkuu viongozi wetu wanapoanzisha uzushi wenye nia ya kuchafua nchi yetu wawe wanawaandaa wafuasi wao kusikia kile ambacho hawakukitegemea

Kama hamuamini uchunguzi wa polisi mlitaka nani afanye huu uchunguzi,juzi tu kamanda mloto alipotoa maoni yake juu ya maigizo ya DJ mbowe mlishangilia

Leo hii lipoti imekuja tofauti na matumaini yenu mnaanza kulalama,poleni sana

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app

Wengi wetu tunaojua ukweli wa mambo msimamo wetu uko wazi, kuwa cctv footage ndio zina ukweli wote. Sio Mbowe, sio polisi, sio mtoto wake au awaye yote.
 
Bado najaribu kujiuliza kwanini CCTV footage zinakwepwa kwenye hili tukio. Haya mengine ni sehemu tu kuupata ukweli. Lakini ukweli halisi ni kupatikana CCTV footage, kisha kila mtu ataanza kuweka ukweli wake kuanzia hapo.
Hivi wewe kusoma hujui hata picha huoni?
Hivi kwa unavyowafahamu viongozi wako wa chadema jinsi mlolongo wa hilo tukio ulivyo huoni kama kuna walakini?

Hao kina Mbowe siyo malaika, ni binadamu wanaweza kufanya lolote sasa tusiwatetee hapa
 
Na kama angelikuwa amelewa, asingeliita attention ya watu. Kwani kutibiwa kimya kimya ilishindikana nini? Mbona Marais wanalewa kimya kimya?
Mbowe ni mlevi full stop
 
Ukweli ni kuwa walishindwa kulificha hilo, ukishapelekwa hospitali yoyote ni lazima uripoti polisi. Na kiongozi wa hali hiyo, na mtu tajiri kiasi hicho, hakubali kutibiwa ovyo, wanapenda kuishi muda mrefu.

Ndugu hili lilikuwa kosa, na watu wote walikuwa katika hali ya starehe, kwa hivyo wakajisahau na wakati kama huo vinywaji vinaporomoka vizuri kabisa , na bila kujijua unajikuta mtu uko chakari.
You are not objective, ushindwe kuficha? Kuanguka ni kosa? Kulea ni kosa? Mbona unanipeleka kuanza kukufikiria kinyume na nilivyokuwa nakufikiria? Kosa gani alifanya? Mtu mwenye pesa ashindwe kuficha ulevi? ashindwe kuficha kuanguka/kuvunjika?
 
Polisi wameamua Kuja na taarfa ambazo mtu kama mimi mchunga ng'ombe naweza kuztoa toka malishoni Bila comnvincing evidence?watu waliosomeshwa kwa kodi za wanyonge wameamua Kuja na majibu mepesi kiasi hiki?
Unaweza tumia facts za kitoto kujustify ukweli wa tukio lile?...
Niliapa mwanangu asome sana...ila kama atakuja niambie ni msomi wa kiasi cha kuingia kwenye kazi fulani fulani ikiwemo hii basi...ajue si mtoto wangu asilani!! Hakuna kitu kinauma nimetumia gharama zangu kupika ubongo wa mtoto halafu aje ageuke hivi stakubali!!!
Nilitegemea wawambie wananchi kwa kutumia footage camera tukio Zima lilivokua kama movement za watu zilikuepo au lah picha zongeonyesha..kweli MTAA mzima cctv Kamera hazikuepo?je nyumba haikua na Kamera ili kujustify tukio lile? Msomi unaweza Sema jirani ndy uthibitisho je kama jirani ni adui yako?
Sjui taifa linaelekea wapi..kudharilishana kufedheheshana imegeuka desturi katka taifa la Mwlm Nyerere!!! ?
Moja ya vitu anajivunia Mbowe ni kuwa na watetezi viazi namna hii
 
Aibuuuuu.Mbowe mavi yako. Kweli wewe ni msaliti kwa watanzania. Mtu anaemcheat mkewe wa ndoa atashindwa vipi kuwacheat watanzania ?Ibholo lyako. [emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji115][emoji115]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nisaidie kumtag bibi Sky tafadhali
 
Back
Top Bottom