Utamshitaki vipi mtu aliyekuwa amelewa chakari????????????????????????????????????????????///////kwakweli Mbowe akipona majeraha ya kuanguka ashitakiwe kwa kuuhadaa umma ma jeshi la polisi. iweje mtu katoka kwenye starehe zake halafu aanze kuzusha.?!
jeshi la polisi na umma haupaswi kusikiliza na kuamini maneno ya mlevi chakari...kwani mlevi chakari anaweza kutamka neno lolote lile bila yeye kujitambua...hivyo maneno aliyo yatoa mbowe ya kuvamiwa huku akiwa amelewa chakarii si ya kuaminiwa kamwe