Jeshi la Polisi: Hakuna ushahidi kuwa Freeman Mbowe alishambuliwa. Alikuwa ametoka kwa Joyce Mukya. Alikuwa amelewa chakari

Ukiyaona ya Ndungai na Lijualikali, utastaajabu ya Murroto, hii ndo TZ bhana.
 
Mbona tulitegemea itakuwa hivyo tu
Mbowe anatia aibu sana,infact anatia aibu hata familia yake.Sijui mkewe anajisikiaje maskini. Umelewa chakari,tena unatoka nyumba ndogo,uovu mtupu.Halafu eti unataka uende Ikulu,ipi?
 
You are not objective, ushindwe kuficha? Kuanguka ni kosa? Kulea ni kosa? Mbona unanipeleka kuanza kukufikiria kinyume na nilivyokuwa nakufikiria? Kosa gani alifanya? Mtu mwenye pesa ashindwe kuficha ulevi? ashindwe kuficha kuanguka/kuvunjika?
Hawana akili hawa watu. Kwa nini wanadhani angeshindwa kusema kateleza na kuumia?
Hii inaonyesha hata huo mpango wa kumshambulia ulilenga kumuumiza mguu tuu ili syndicate ya kuwa kalewa na katoka wapi iliyopangwa toka awali ifanikiwe.
Iweje kesho yake bungeni wasimame kuanzia Spika na wabunge kadhaa wasimame na kusema kitu kimoja kama vile walikuwa naye?
Upumbaf mtupu
 
Aibu kwa ripoti ya jeshi kuwa na ukakasi waripoti muhimu kuwa na majina mawili Joyce Nkya na Joyce Mkuya hapo ndipo utajua ubambikiaji ulivyo
 
Kwa kweli ripoti inaonyesha mapungufu makubwa. Kama ndio repoti ya uchunguzi inaandikwa hivi basi tuna safari ndefu aisee
 
Huu ni uwongo
Unasema kweli kabisa. Mchezo mchafu unachezwa kichafu vilevile. Kama wanataka kuhusisha Mbowe kuzaa na Mkuya na uongo wao, waulizwe mapenzi ya hiari ni dhambi kama kumbaka shemeji yaani Dada wa mama J hadi kumzalisha?
Tutaonana wabaya humu!
 
Hivi wewe kusoma hujui hata picha huoni?
Hivi kwa unavyowafahamu viongozi wako wa chadema jinsi mlolongo wa hilo tukio ulivyo huoni kama kuna walakini?

Hao kina Mbowe siyo malaika, ni binadamu wanaweza kufanya lolote sasa tusiwatetee hapa

Narudia tena sio Mbowe, sio polisi, sio mtoto wake hakuna tunayeamini ukweli wake. CCTV footage zikitolewa kila mtu ataweka ukweli wake kutokea hapo. Hatetewi yoyote hapa tunataka ukweli usioacha shaka. Hilo ni rahisi kuliko hizi porojo zote toka mwanzo wa tukio husika.
 
Washenzi wakubwa, lkn bahati nzuri wenye akili wanaelewa! Walishindwa nini kusema ameanguka kwenye ngazi au bafuni, maana bafuni kwa sababu ya sabuni tunaanguka ana! as long as alikuwa na dereva wake ingelikuwa siri yao! Wajinga sana. This was a syndicate ikiongozwa na ndugai!
 
Ni mambo ya ajabu sana.Wanashindwa kusoma alama za nyakati.Kwa kadhia(Mbowe) anazozipata awamu hii,inatakiwa weledi mkubwa sana wa kutoa taarifa isiyo acha shaka, ambayo itaaminisha uma wa watanzania kuwa yanayoendelea dhidi yake siyo MWENDELEZO WA MATESO anayoyapata toka kwao.Taarifa hii imeacha maswali mengi kuliko majibu.
 
Hiyo ripoti feki haijatolewa na polisi ila imeandikwa sehemu nyingine na wao wamepewa tu waisome kama ilivyo.

Kosa la Mbowe ni kukataa kuiuzia ccm chama kama akina Mrema, Lipumba, Cheyo, Shibuda na Mbatia walivyofikishwa bei.

Kosa kubwa sana linalofanyika ktk nchi hii ni kwa watu wanaofahamu undani wa hizi njama zinazosukwa kuwahujumu wapinzani kuwa waoga kwa kuamua kukaa kimya na hivyo kuwapa hawa wakora jeuri ya kuendeleza huu uhuni.

Huenda hata kwenye sakata la Tundu Lissu wakaja kudai kuwa aliumia kwenye ajali ya gari make hii yoote ni madhara ya kulewa madaraka jambo linalodhihirisha jinsi tutakavyo endelea kupata shida kwa kutawaliwa na watu wanaobahatisha kupata madaraka pasipo kuwa na karama ya uongozi. This will cost us a lot.
 
Ukusanyaji data ambao unaosema uutumiwe kutupa taarifa ni wa karne ya 18 . ivi unajua sasa ivi uko karne ipi na zama zipi broo !
Mlalamikaji kalowea Belgium,shahidi muhimu (dereva wa lisu) baada ya tukio tu katoroshwa/kafichwa na chadema.sasa jiulize mwenyewe tuko Karne ya 18 au ya 21
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…