Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dereva wamemficha anatakiwa ahojiwe ndio ripoti itoke
Mbowe anatia aibu sana,infact anatia aibu hata familia yake.Sijui mkewe anajisikiaje maskini. Umelewa chakari,tena unatoka nyumba ndogo,uovu mtupu.Halafu eti unataka uende Ikulu,ipi?Mbona tulitegemea itakuwa hivyo tu
HahahhaSidhani kama hii ni official statement ya Jeshi la Polisi.
Kama ni kweli ni official statement ya Polisi hii nchi imepotea.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Hawana akili hawa watu. Kwa nini wanadhani angeshindwa kusema kateleza na kuumia?You are not objective, ushindwe kuficha? Kuanguka ni kosa? Kulea ni kosa? Mbona unanipeleka kuanza kukufikiria kinyume na nilivyokuwa nakufikiria? Kosa gani alifanya? Mtu mwenye pesa ashindwe kuficha ulevi? ashindwe kuficha kuanguka/kuvunjika?
Moja ya vitu anajivunia Mbowe ni kuwa na watetezi viazi namna hii
Sijapenda hii lugha yako lakini ajabu nimekupa like. Inawezekana moyo unayakataa maneno yako lakini akili inakubali na inaniambia umempa kweli yake.
Duh...!.
Pachali hivi ukipata ajali ya kuanguka kwa sababu zozote zile unaficha au kubadilisha taarifa kama Mbowe. Tuwe na akiba ya maneno kama unavyofanya HERI KUANDIKA Duh
Unasema kweli kabisa. Mchezo mchafu unachezwa kichafu vilevile. Kama wanataka kuhusisha Mbowe kuzaa na Mkuya na uongo wao, waulizwe mapenzi ya hiari ni dhambi kama kumbaka shemeji yaani Dada wa mama J hadi kumzalisha?
Tutaonana wabaya humu!
Hahahah... Wapigaji wa Mbowe ni wazuri sana! Yani walichagua sehemu ya kupiga kwenye goti tap..Duuu leo kazi ipo.
Hivi wewe kusoma hujui hata picha huoni?
Hivi kwa unavyowafahamu viongozi wako wa chadema jinsi mlolongo wa hilo tukio ulivyo huoni kama kuna walakini?
Hao kina Mbowe siyo malaika, ni binadamu wanaweza kufanya lolote sasa tusiwatetee hapa
Washenzi wakubwa, lkn bahati nzuri wenye akili wanaelewa! Walishindwa nini kusema ameanguka kwenye ngazi au bafuni, maana bafuni kwa sababu ya sabuni tunaanguka ana! as long as alikuwa na dereva wake ingelikuwa siri yao! Wajinga sana. This was a syndicate ikiongozwa na ndugai!Hawana akili hawa watu. Kwa nini wanadhani angeshindwa kusema kateleza na kuumia?
Hii inaonyesha hata huo mpango wa kumshambulia ulilenga kumuumiza mguu tuu ili syndicate ya kuwa kalewa na katoka wapi iliyopangwa toka awali ifanikiwe.
Iweje kesho yake bungeni wasimame kuanzia Spika na wabunge kadhaa wasimame na kusema kitu kimoja kama vile walikuwa naye?
Upumbaf mtupu
Ni mambo ya ajabu sana.Wanashindwa kusoma alama za nyakati.Kwa kadhia(Mbowe) anazozipata awamu hii,inatakiwa weledi mkubwa sana wa kutoa taarifa isiyo acha shaka, ambayo itaaminisha uma wa watanzania kuwa yanayoendelea dhidi yake siyo MWENDELEZO WA MATESO anayoyapata toka kwao.Taarifa hii imeacha maswali mengi kuliko majibu.Polisi wameamua Kuja na taarfa ambazo mtu kama mimi mchunga ng'ombe naweza kuztoa toka malishoni Bila comnvincing evidence?watu waliosomeshwa kwa kodi za wanyonge wameamua Kuja na majibu mepesi kiasi hiki?
Unaweza tumia facts za kitoto kujustify ukweli wa tukio lile?...
Niliapa mwanangu asome sana...ila kama atakuja niambie ni msomi wa kiasi cha kuingia kwenye kazi fulani fulani ikiwemo hii basi...ajue si mtoto wangu asilani!! Hakuna kitu kinauma nimetumia gharama zangu kupika ubongo wa mtoto halafu aje ageuke hivi stakubali!!!
Nilitegemea wawambie wananchi kwa kutumia footage camera tukio Zima lilivokua kama movement za watu zilikuepo au lah picha zongeonyesha..kweli MTAA mzima cctv Kamera hazikuepo?je nyumba haikua na Kamera ili kujustify tukio lile? Msomi unaweza Sema jirani ndy uthibitisho je kama jirani ni adui yako?
Sjui taifa linaelekea wapi..kudharilishana kufedheheshana imegeuka desturi katka taifa la Mwlm Nyerere!!! ?
Polisi wamehoji watuhumiwa na kutafuta ushahidi
Mlalamikaji kalowea Belgium,shahidi muhimu (dereva wa lisu) baada ya tukio tu katoroshwa/kafichwa na chadema.sasa jiulize mwenyewe tuko Karne ya 18 au ya 21Ukusanyaji data ambao unaosema uutumiwe kutupa taarifa ni wa karne ya 18 . ivi unajua sasa ivi uko karne ipi na zama zipi broo !