Jeshi la Polisi: Hakuna ushahidi kuwa Freeman Mbowe alishambuliwa. Alikuwa ametoka kwa Joyce Mukya. Alikuwa amelewa chakari

Mpaka hapa nakubaliana kabisa na maelezo yako mwengeso, hapa una hoja za msingi kabisa. Sasa ili wote tupate ukweli, tuwekewe ukweli wa kile kilichoko kwenye CCTV cameras. Hapa mchezo utaisha kwa haraka sana. Kinyume na hapo ni porojo.
 
Huyu mwanamke ameteswa sana na Mbowe sema ndio hivyo ni mvumiluvu
Itakuwa ile mpaka kifo kitutenganishe. Duh mama ni mvumilivu. Ndo shida msomi mzuri akaolewa na DJ zero form six. Ndo shida ya kuchaguliwa mme na familia.
 
Haya, endelea kuweweseka. Lini mtamsaidia Mwamba ajirekebishe?
Sisi hatutahangaika na jeshi ambalo viongozi wake ni wanaccm , Mahita , Zerothe Steven na Chagonja ni mifano halisi bali tukiingia madarakani taasisi ya kwanza kuifutilia mbali ni polisi
 
Unaandika huku unaona aibu kwa jeshi la polisi kutia aibu
Hajahahaha... Huu uzi mods wameutendea haki, hebu nenda pale juu kabisa page ya kwanza uone nondo walizoambatanisha.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mtag Mmawia tafadhali, maana sijamuona hapa.
 
Sisi hatutahangaika na jeshi ambalo viongozi wake ni wanaccm , Mahita , Zerothe Steven na Chagonja ni mifano halisi bali tukiingia madarakani taasisi ya kwanza kuifutilia mbali ni polisi
Naona umechanganyikiwa kabisa! Yani ufute polisi?
Duh... Mukya huyu Mukya huyu...
 
Hajahahaha... Huu uzi mods wameutendea haki, hebu nenda pale juu kabisa page ya kwanza uone nondo walizoambatanisha.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mtag Mmawia tafadhali, maana sijamuona hapa.
Polisi wa Tanzania wanaweza kuweka nondo !
 
Sasa inakuwaje polisi nao wasingesema kabisa kwamba hakudondoka nyumbani kwake?
Polisi imetoa taarifa ya awali inayothibitisha Mboemwe alikuwa amelewa chakari na uchunguzi wa tukio zima unaendelea. Suala la ulevi CHAKARI ni kutokana na ripoti ya daktari aliyempokea na askari aliyemhoji. Huyo Polisi alikwenda kumhoji baada ya taarifa ya tukio kuripotiwa Polisi saa 2 baada yake.
 
Kwa maelezo yale unafikiri kutoa video yake si ni uzalilishaji!
 
Kimya kimya bila PF3?
Kwa nini hakuripoti polisi apewe PF3 tusaidie wewe? Mbowe Aliendaje mbio mbio mbio bila PF3 Kama taratibu zinavyotaka kwa kesi Kama hiyo ya kuvamiwa? Mbowe na hawara yake Mukya Wana Cha kujibu

Hapa una hoja za msingi kabisa na hata mimi nazikubali kwamba kwanini asipate Pf3. Kwakuwa anasema alishambuliwa nyumbani kwake basi tufunge ushahidi wa picha za CCTV ili Mbowe aumbuke. Kama hakuja hapo nyumbani CCTV hazitaonyesha akirudi, na kama alianguka tutaona alivyoanguka, na hata kama alikuwa na kakonyagi kadogo inawezekana kakaonekana, na kama alikuwa na mwanamke ataonekana pia.
 
Uhuni wa namna hii HAUVUMILIKI, ndio sababu tunahitaji Tume huru ya Uchaguzi na baadae KATIBA MPYA. Jeshi la Polisi linatumika kama KONDOMU na hawa mabaladhuri wa serikali ya CCM.
 
USIWE KAMA WAFUASI WA KIBWETELE!...SOMETIMES TUMIA UBONGO WAKO
 
Itakuwa ile mpaka kifo kitutenganishe. Duh mama ni mvumilivu. Ndo shida msomi mzuri akaolewa na DJ zero form six. Ndo shida ya kuchaguliwa mme na familia.

Na ww ajuza leo naona unarusha mawe tu. Huna hoja lakini unaoongea utoto wa kiwango cha juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…