Jeshi la Polisi: Hakuna ushahidi kuwa Freeman Mbowe alishambuliwa. Alikuwa ametoka kwa Joyce Mukya. Alikuwa amelewa chakari

Hakuna starehe tamu kama pombe na papuchi so nampongeza sana Mh Mbowe kwa kupiga mtungi na kuisambaza papuchi ya demu wake siku hiyo

Ugua pole Muheshimiwa hizi ni starehe za tulio wengi
 
Mambo ya PF3 ni ya kwake usimsemee hayo anatakiwa kujibu yeye na Joyce Mukya aliyempeleka hospital hayo hayahusu CCTV Wala wewe Ni yao
 
Footage anazo nani?

Na hiyo nyumba anayoishi cctv zipo?

Nyumba inafence au haina?

Bila shaka kwa kuandika huu uzi lazima majibu ya maswali haya unayo.
 
Sisi hatutahangaika na jeshi ambalo viongozi wake ni wanaccm , Mahita , Zerothe Steven na Chagonja ni mifano halisi bali tukiingia madarakani taasisi ya kwanza kuifutilia mbali ni polisi
Badala ya kusubiri kuingia madarakani kulifuta Jeshi la Polisi unaonaje tumshauri IGP wa Jeshi la Polisi naye aamrishe askari wake wajifungie kwa siku 14, kujipima maambukizi ya korona kama alivyofanya Kamanda wa Makanda wenu kwa Wabunge wake kususia bunge la bajeti!!!
 
Kwahiyo mtakuwa na polisi wenu?
Huwezi kuwa na polisi duni kama hawa wanaoweza kutumwa na hata mjumbe wa shina wa ccm , lazima upate jeshi lenye weledi linaloelewa maana ya kutumikia wananchi , kwa bahati mbaya sana Ubalozi wa marekani unao ushahidi wa shambulizi la Mbowe , sasa hao polisi wako ni wa kuwahurumia tu
 
Awali ya yote ningependa kukujulia hali na kukupa pole kwa kuteleza na kuanguka. Ni jambo la kawaida mtu kuteleza na kuanguka na hata wakati mwingine kuteguka na kuvunja moja ya sehemu ya mwili.

Lakini Mheshimiwa Mbowe (Mwamba) kusema kwamba ulivamiwa na kushambulia na watu wasiojulikana ni jambo la kitoto na la kipuuzi kwa kifupi ni cheap politics. Kutafuta public sympathy kwa namna hii inakuvunjia heshima wewe na Chama Chako (saccos yako)

Watanzania wa sasa sio wa enzi zile. Tunataka hoja mezani na sio matukio ya kipuuzi ya kutengeneza.

Ushauri wangu kwako siku nyingine kuwa makini na kilevi si kitu kizuri hasa ukizidisha.

Mwisho nikutakie speed recovery.

by
Raia Huru
 
CCM ina mbinu nyingi, hii ni mbinu moja kati ya maelfu ya mbinu walizonazo ili kuhakikisha CHADEMA inakufa
 
Kwa hiyo ulitaka waseme kapigwa hata hajapigwa. Kama unahakika kapigwa unaweza kuthibitishia umma pia. Maana hao majirani hawawezi kudanganya.
Majirani hawawezi kudanganya?
Majirani walioshuhudia Tundu lisu anapigwa risasi, walisema nini?
Acha ufala wewe, cctv za tukio la Lisu zipo wapi?
Kwa matukio ya utekaji nyara ya wasiojurikana, nani anaweza kwenda kutoa ushahidi, na kwa taarifa yako ilo eneo lilipotokea tukio, sio kama manzese au kawe ambapo watu wanakesha, Dodoma, Daladala tu, zinabaki saa tatu usiku,
Muda wa saa saba usiku eneo la sengia /Area D, ni eneo kimya sana,
 
Swali lako ni la kipuuzi na halieleweki
 
Na ww ajuza leo naona unarusha mawe tu. Huna hoja lakini unaoongea utoto wa kiwango cha juu.
Mwenyekiti ndo huyo wafuasi wake je ?????That is why sina chama. I never trust anyone. I never put my hope on someone. Konyagi vepeeee. The devil is a lie ,wallah. Yaani michepuko kila kona,sasa adhabu inayofuata ataanguka apasuke fuvu. Sipendi wanaume wanaocheat wake zao.
 
Umempa like
Kwani Like umeona jambo la maana
Ndio maana Mna Kurupuka kuropoka hovyo humu ili mpate like
Kwamba Nayo Kitu muhimu ktk maisha yenu et!!
Hata logic ya nilichosema huelewi, kweli mpumbavu hata ukimtwanga na mpunga kwenye kinu mpunga uta koboka yeye atabaki alivyo.
Pole sana, amsha akili zwazwa!
 
 
Kwa taarifa hii ya polisi kale kamama karopokaji ka USA hapa Dar es Salaam katasemaje?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…