Jeshi la Polisi: Hakuna ushahidi kuwa Freeman Mbowe alishambuliwa. Alikuwa ametoka kwa Joyce Mukya. Alikuwa amelewa chakari

Tulia kwanza primary investigation ya tukio ikamilike kwanza .Kwenye upelelelezi huruki ruki unaanza na primary investigation inayohusu wahusika wenyewe kwanza kwa Nini hawakuripoti polisi wapewe PF3? Hayo maswali Ni Yao na Joyce Mukya wake
 
Kama anamdanganya mkewe,atashindwa danganya wananchi ?Tabia ya mtu ina reflect sana tabia zake atakapokuwa kiongozi. Kama Magufuli anazaa nje anamletea mama Janet alee. Tunaona yanayotokea leo.
CHARITY BEGINS AT HOME.

Hapa unaongelea mtu anayefaa kuongoza chama, au unaongelea mtu anayefaa kuongoza chama hawezi kuwa muongo? Mimi hapa najua watu wote ni waongo, ili wanatofautiana viwango. Na kwa kulitambua hilo ndio maana nataka cctv footage ukweli uwe wazi. Sasa naona we tayari umeshaamini taarifa ya polisi na kuanza kumwaga matusi, huku maelezo ya Mbowe na polisi yakiwa ni utata mtupu.
 
Utamshitaki vipi mtu aliyekuwa amelewa chakari????????????????????????????????????????????///////
Wakati kubumba na kuandaa njama vikao huongozwa na shetani. Ndio maana ndugu zetu wameliharibu hata bunge letu. Wananchi wanahitaji kuwatupa hawa.
 
Muulize Nkurunziza kafa lakini wananchi wanashangilia mitaani wanapongezana.
Pombe ulimnywesha wewe? Polis wanatumika vibaya ila muda ni mwalimu mzuri.
Wao wamefanya uchunguzi, kafanye na wew alafu uje na ushahidi kama huo wa polisi, usiendeshwe na hisia kwa ujeuri utaishia kufeli, neno zuri kwako litakuwa halina ukweli na lenye ukweli litakuwa sio zuri kama hii ripoti ya jeshi la polisi
 
Yaani hapa ndipo CDM wanaweza uumbua uchunguzi Tata na figisu Tata ya mandata,mandata wametoa majibu mepesi yanayodhalilisha weledi wao na manyota yao mabegani.. CDM mumerahisishiwa kuaminisha umma kwamba hili swala ni la kisiasa. Japo najua press conference yenu hatapata kibali..Taifa limegeuka genge la wanyang'anyi !!!
 
Mtahangaika sana kufungua nyuzi nyingi Ila haitafuta kuwa mwamba aligongea nyagi kupita kiasi
 
Tulia kwanza primary investigation ya tukio ikamilike kwanza .Kwenye upelelelezi huruki ruki unaanza na primary investigation inayohusu wahusika wenyewe kwanza kwa Nini hawakuripoti polisi wapewe PF3? Hayo maswali Ni Yao na Joyce Mukya wake

Naam sasa umeingia pale nilipokuwa napataka. Kama ni hivyo, hizi kelele ni za nini kama sio upotoshaji? Ninavyojua CCTV camera zingeweza kufikika kwa urahisi na wala haziongopi. Hizi porojo nyingine ni kutaka kuficha ukweli fullstop.

Nimekuwa nikisema zaidi ya mara moja, waliosema dereva wa Lissu aondolewe nchini walikuwa sahihi mno, maana dereva wa Lisu angepatikana angetishiwa ili kupindisha ukweli.

NB: umeamini kuwa sasa watu wamepuuza bajeti, na ndio maana wanajali hili suala Mbowe kuliko bajeti ya jana? Fuatilia nyuzi zinazohusu hili suala la Mbowe, na nyuzi zinazojadili bajeti ya jana.
 
Mateso wanayopitia chadema ni zaidi ya yule Floyd hawaachwi hata wapumue kidogo jmn. R.I.P Floyd
 
 
 
 
 
Kajamaa kamelewa kakaanguka kakarud kwa kimada alafu kaka mcheki jamaa yake katibu wa chama chao atoke hadharani ili amfunikie mabaya yalomkuta, Mnyika aligoma kabisa ila mbowe akamlazimisha kutoa tamko. Bas mnyika akaja na "logical fallacy"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…