Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Broo naomba kisado cha popcorn
MATAGA na job ndugai sijui watajificha wapi baada ya jaribio lao la kumshambulia Mbowe na kumsingizia kuwa amelewa kubuma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Broo naomba kisado cha popcorn
Hili hustahili kuchekelea, kwahyo mtu hatakiw kulewa?Haya Sasa mambo wazi kabisa ni aibu hii kwa chadema kusema uongo sijui wataficha wapi sura zao chadema [emoji23][emoji1787][emoji2960]
Kulewa kila mtu analewa. Ila tukiumia ulevini hatusemi uongo Wala kumsingizia mtu!! Lazima ni cheke hii ze comedy show ni shida [emoji23][emoji1787][emoji2960]Hili hustahili kuchekelea, kwahyo mtu hatakiw kulewa?
View attachment 1476358View attachment 1476359
USHAHIDI wa awali wa Jeshi la Polisi nchini kuhusu madai ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) ambaye pia ni Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni Freeman Mbowe umeonesh kuwa siku hiyo ya tukio Mbowe alikuwa amelewa chakali na alizunguka kwenye kumbi mbalimbali za starehe zinazouza vileo ikiwemo ya Royal Village.
Pia ushahidi huo unaonesha mbali ya kuwa kwenye maeneo hayo ya starehe alikuwa nyumbani kwa mzazi mwenzake Joyce Nkya ambaye ni Mbunge wa Viti Maaluma Chadema na kwamba hata taarifa za kwamba ameshambuliwa zinatia shaka kwani mashahidi wote ambao wameojiwa hakuna anayethibitisha uwepo wa tukio hilo zaidi ya Mbowe mwenyewe na dereva wake.
Taarifa ya Jeshi la Polisi nchini iliyotolewa leo kwa vyombo vya habari na Msemaji wa Jeshi hilo David Misime amesema Juni 9 mwaka huu walitoa taarifa ya awali kupitia Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Gilles Mroto kuhusu tukio la lililoripotiwa kuwa Mbowe amelezwa jijini Dodoma kwa kile kilichodaiwa kushambuliwa wakati anaingia nyumbani kwake .
Misime amesema baada ya kutolewa kwa taarifa hiyo ya awali wamekuwa wakipokea simu nyingi kutoka kwa waandishi wa habari wakitaka kufahamu matokeo ya uchunguzi kuhusu taarifa iliyofikishwa Kituo cha Polisi Kati Dodoma.
"Napenda kujulisha kuwa Jeshi la Polisi limeendelea kufanya upelelezi wa kina kuanzia kwa mhanga mwenyewe wa tukio ambaye alidai kuwa muda wa saa saba hivi usiku akiwa kwenye ngazi ya kuingia nyumbani kwake akiwa na anatoka kwa mzazi mwenzake aitwaye Joyce Nkya ambaye ni Mbunge wa Viti Maaluma Chadema anayeishi eneo la Medeli Mjini Ddoma alishambuliwa na kuumia kwenye mguu wa kulia.
"Mhanga wa tukio hilo alidai wakati anashambuliwa alipiga kelele nyingi kuomba msaada ambao aliupata kutoka kwa dereva wake ambaye naye alipiga simu kwa Joyce Nkya kisha hospitali iliyoko takribani umbali wa kilometa tano nje ya Jiji la Dodoma pasipo umuhimu wa kutoa taarifa Polisi kabla ya kwenda kwa Joyce Nkya na Hospitali,"amesema Misime.
Ameongeza upelelezi wao umepata ushahidi kutoka kwenye eneo la tukio unaonesha kulikuwa na watu kwa namna yoyote wangeweza kusikia makelele yaliyopigwa na Mbowe kuomba msaada na wengine walikuwa na uwezo wa kuona bila kizuizi kitendo cha kushambuliwa .
"Hata hivyo kwa mujibu wa wa mashahidi hawa hakuna hata mmoja aliyeweza kusikia kelele hizo au kuona mbowe akishambuliwa. Kwa mantikini hiyo ushahidi pekee unaozumngumzia kushambuliwa ni maelezo ya mhanga wa tukio(Mbowe) pamoja na dereva wake.
"Ambayo kwa hali ilivyo sasa yanatia shaka kuhusu ukweli wa tukio hili.Mashaka hayo yanaongezeka zaidi pale tulipobaini kuwa nyumbani kwa Mbowe alikuwepo kijana wake aitwaje James Mbowe ambaye hawakuona umuhimu wa kumjulisha kuhusu tukio lililotokea hapo nyumbani badala yake waliona umuhimu wa kumjulisha Jocye Nkya aliyekuwa mbali na eneo la tukio,"amesema.
Pia amesema uchunguzi wa Jeshi la Polisi nchini umethibitisha kuwa siku ya Juni 8 mwaka huu Mbowe alitembelea sehemu kadhaa za starehe zinazouza vileo ikiwepo ya Royal Village na kupata kinywaji.
"Hata hivyo alipofika hospitali alioneana akiwa katika hali ya ulevi chakari kiasi cha kushindwa kutamka maneno sawa sawa.Tunaendelea na uchunguzi kutafuta ukweli wa tukio hili, hivyo tunaomba wananchi wenye taarifa zinazoweza kusaidia upelelezi huo wazilete kwetu. Tutaendelea kutoa taarifa kwenu kadri ushahidi utakavyopatikana,"amesema Misime kupitia taarifa ya jeshi hilo kwa vyombo vya habari.
Pia soma
Kwa hiyo Moroto alidanganya siyo mbowe hakukanyagwa na yeyote. Makao makuu Dar wanaelewa mazingira ya tukio kuliko Dodoma. Tell this to birds. EU and US beware of this fallacy. There were no investigation during Tundu Lisus attack. And where were the security guards this time. What about the cCTv cameras? Tell the nonsense to birds!!Tell these fallacy to birds. Between the Dodoma RPC and the shelf seaters of the Car headquarters who is giving the truth? By the way where the 24hour security guards this time? And the cameras? Tell your stories to birds.
There were cameras there were 24 hours security guards. Get u
> News Alert: - Dodoma: Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe avamiwa, apigwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana
> Freeman Mbowe na Joyce Mukya wamtumia Mjomba wa Mtoto kupata cheti cha kuzaliwa
> Mhe. Mbowe na Mhe. Joyce Mukya mtafanya hili suala kuwa siri mpaka lini?
> Joyce Mukya ni nani? Pamoja na kutokuwa active kwenye Siasa bado anapeta ubunge CHADEMA zaidi ya miaka 10
Lazima ataeleza. Kwani ndio matumizi ya bilioni 7Kwa mtazamo wangu,naamini mpaka sasa CHADEMA wameshakusanya taarifa za nini kilitpokea ila waliona kueleza kila kitu ingekuwa ni kuingilia uchunguzi wa Jeshi la Polisi, hivyo waliona ni busara watoe nafasi kwa Polisi kufanya kazi yao na kama maelezo ya Polisi yatakuwa tofauti na kilichotokea, basi watajitokeza kueleza kwa undani nini kilitokea na hiki ndicho binafsi nakitarajia kitatokea wakati wowote kuanzia kesho.
Kama kumbukumbu zangu ziko sahii, Mnyika alisema wakati tukio linatokea,Mbowe hakuwa peke yake bali kulikuwa na watu wengine ambao hawakuwataja hivyo naamini katika kujibu taarifa ya Jeshi la Polisi, CHADEMA watawataja waliokuwepo na pia na kama kuna ushahidi wa ziada,basi watautoa hadharani.
Naamini hata Mbowe mwenyewe atatoa maelezo ya nini hasa kilitokea.
Tusubiri.
Shetani kakutawala wewe na maisha yako.Piga magoti sali uweze kumrudia MunguInaonekana Joyce Mkuya ni mtamu sana kuliko mke wa ndoa Lilian Mbowe, maana kila janga lazima ahusishwe
Watetezi wa Mbowe angalia moo wangapi humu kwenye Hili hamzidi watatu !!!! Mliokomaa Tena nadhani ni wewe mwenyewe una ID tofauti Mbowe kabwagiwa Hili zigo . Chadema wamejitambua wewe ndio unatoka mijasho peke yako na wenzio wawili tu humu toka mada ianzeSina tatizo na maelezo yako ya kuchukua maelezo kwa wahusika kwanza, hilo nakubali kabisa. Lakini ni mwendawazimu tu ataacha kuchukua kilichonaswa na CCTV wakati zipo, huku kukiwa na utata kwenye maelezo. Maelezo haya hayaingii akilini.
Kama ushahidi unapatikana kwa watu tu, CCTV camera Ni za nini? Maana nijuavyo CCTV hazizuii wezi, bali hurekodi matukio kwenye eneo husika, ili kusaidia uchunguzi. Hilo liko wazi. Huoni kuendelea kukwepa hilo, ndio kukwepa ukweli ulipo zaidi ya huu upotoshaji wa pande zote?
Iwapo wangemjeruhi kama Lisu isingekuwa stori ya kulewa, muulize aliyesema hili akujbu la Lisu alikuwajeKulewa kila mtu analewa. Ila tukiumia ulevini hatusemi uongo Wala kumsingizia mtu!! Lazima ni cheke hii ze comedy show ni shida [emoji23][emoji1787][emoji2960]
naona huu uandishi katika report ya upelelezi kama imemkazia sana Joyce ukiingia deep inajipambanua wazi kuwa ilitaka kumvua nguo mtu flaani tu!Aya ya PILI ya Taarifa ya Misime inamtaja mtu anaeitwa JOYCE MUKYA wakati Aya ya Tatu ya taarifa hiyo hiyo inamtaja mtu anaeitwa JOYCE NKYA, so which is which wakuu
Msututishe wapenda damu nyieMshamaliza taarifa ya nini sasa? Ila Kuna siku tutakayotaman kurudia nyakati hizi za utii wa wananchi itakua too late.
We jamaa bwana!Hapa unaongelea mtu anayefaa kuongoza chama, au unaongelea mtu anayefaa kuongoza chama hawezi kuwa muongo? Mimi hapa najua watu wote ni waongo, ili wanatofautiana viwango. Na kwa kulitambua hilo ndio maana nataka cctv footage ukweli uwe wazi. Sasa naona we tayari umeshaamini taarifa ya polisi na kuanza kumwaga matusi, huku maelezo ya Mbowe na polisi yakiwa ni utata mtupu.
Mwenyekiti kafa kaozaIla huyo binti ni chombo
Ila ukiwa mwenyekiti cdm burudani sana.Ukiwa polisi Tanzania ni raha sana !
Lissu ye risasi zilipigwa kutokea kushoto,lakini mguu uliojeruhiwa ni wakulia. Tatizo mnaleta usanii kwenye kundi la sanaaHata Tundu Lissu alikuwa amelewa chakariii akajipiga marisasi.
Makosa ya kiuandishiAya ya PILI ya Taarifa ya Misime inamtaja mtu anaeitwa JOYCE MUKYA wakati Aya ya Tatu ya taarifa hiyo hiyo inamtaja mtu anaeitwa JOYCE NKYA, so which is which wakuu
Nina wasiwasi atakuwa ndio Joyce MukyaKuna Mwamba anajiita Erythrocyte huko Aliko Nahisi atakuwa anajinyea kabisa kwa kusikia Habari hii...
CDM acheni usaniii kabisa
Yeye ajibuye kabla hajajua ni upumbavu na aibu kwake.Wao wamefanya uchunguzi, kafanye na wew alafu uje na ushahidi kama huo wa polisi, usiendeshwe na hisia kwa ujeuri utaishia kufeli, neno zuri kwako litakuwa halina ukweli na lenye ukweli litakuwa sio zuri kama hii ripoti ya jeshi la polisi