Nazgur
JF-Expert Member
- Apr 19, 2020
- 3,729
- 2,851
Ndugai na wabunge wa CCM walikosea sana kuzungumzia hili suala huku wakijua fika uchunguzi wa polisi ulikuwa ukiendelea, wanajisahau na kuingiza siasa hata kwenye mambo ya msingi.
Mbowe anawaambia police alipiga kelele, sasa hizo kelele kwa nini hazikusikika? Pia mwenyewe kawambia dereva kampeleka kwa joyce je hakujua kama inatakiwa apelekwe hospitali?
Nachojua mbowe alitaka kuficha baada ya kuumia ila pengina maumivu yakazidi ndo wakashauliana wampeleke hspitali kisha wasingizie watu wasiojulikana.
Na ndio maana John heche yaye aligoma kuzungumzia jambo hilo akamwachia katibu mkuu na msigwa kwa kuwa yeye mishipa ya aibu ilishakatika ili abumbe story