Jeshi la Polisi: Hakuna ushahidi kuwa Freeman Mbowe alishambuliwa. Alikuwa ametoka kwa Joyce Mukya. Alikuwa amelewa chakari

Jeshi la Polisi: Hakuna ushahidi kuwa Freeman Mbowe alishambuliwa. Alikuwa ametoka kwa Joyce Mukya. Alikuwa amelewa chakari

Ndugai na wabunge wa CCM walikosea sana kuzungumzia hili suala huku wakijua fika uchunguzi wa polisi ulikuwa ukiendelea, wanajisahau na kuingiza siasa hata kwenye mambo ya msingi.

Mbowe anawaambia police alipiga kelele, sasa hizo kelele kwa nini hazikusikika? Pia mwenyewe kawambia dereva kampeleka kwa joyce je hakujua kama inatakiwa apelekwe hospitali?

Nachojua mbowe alitaka kuficha baada ya kuumia ila pengina maumivu yakazidi ndo wakashauliana wampeleke hspitali kisha wasingizie watu wasiojulikana.

Na ndio maana John heche yaye aligoma kuzungumzia jambo hilo akamwachia katibu mkuu na msigwa kwa kuwa yeye mishipa ya aibu ilishakatika ili abumbe story
 
Ni vizuri huo ushahidi wa tukio wangeaombwa USA embassy na EU
 
Ndugu zangu polisi just simple and cleal fungueni CCTV camera ZA nyumba ya Mbowe over.

Ni jambo la aibu polisi unatoa matokeao ya uchunguzi wako alafu unasema kama kuna mtu Ana taarifa akupe ulizo toa wewe nu USHUZI?.
Ni aibu wewe mtaalamu wetu unasema tukio bado mnalichuguza unachunguza nini wakti umeisha toa taarifa?
ni aibu sana kwa IGP
 
Namshauri mke wa ndoa wa mh. F.A. MBOWE mbunge wa hai aombe taraka.
1.kadharirishwa
2.kamvunjia heshima kwa watumishi wenzake.

Haiwezekani usiku wa saa7 mmeo anapata shida usimwambie mkeo.

Haiwezekani mmeo apate shida hata mwanao asijulishwe mda huo nabadara yake kimanda ndo ashirikishwe.

Nimeamini vimada wananguvu kwa rimbukeni wa mapenzi.

Mama omba taraka.
Makamanda hatuchangi safari hii.
Kuandika kwenyewe hujui. Nenda shule kwanza
 
Bado najaribu kujiuliza kwanini CCTV footage zinakwepwa kwenye hili tukio. Haya mengine ni sehemu tu kuupata ukweli. Lakini ukweli halisi ni kupatikana CCTV footage, kisha kila mtu ataanza kuweka ukweli wake kuanzia hapo.
Chadema na wako so weak. Hawako vocal kabisa. Kwanini wasije public waeleze their side of the story. Hata kama ni propaganda just to clear the air. Wako so soft nowadays
 
Aibuuuuu.Mbowe mavi yako. Kweli wewe ni msaliti kwa watanzania. Mtu anaemcheat mkewe wa ndoa atashindwa vipi kuwacheat watanzania ?Ibholo lyako. 😡😡😡😡😡😡😡😡👆👆
Shame on you! Kwanini usitumie lugha ya staha? Huwa nakuheshimu sana na michango yako pia
 
Kwa kweli Tz inahitaji jeshi la polisi lenye muundo mpya ambalo viongozi wake hawakusoma katiba ya chama kimoja walipokuwa shule.
 
Mkuu tusipende kuwalaumu polisi kwa kila kitu. Linapotokea tukio kisheria lazima polisi waende eneo la tukio. Na moja ya mambo wanayoyakiwa kuhoji ni pamoja na kuhoji wakazi eneo jirani na tukio.
Sasa kama victim anasema alipiga makelele wakati anakanyagwa na komandoo Mashimo,alafu hamna mtu aliyesikia? Polisi waseme nini?
Typing error ya Nkya na Mukya sio sababu ya kuwalaumu pia.
Najua kuna matukio mengi huwa wanafanya uzembe. Lakini kwa hili hata mimi nina mashaka sana. The Chairman was drunk.

Cctv footage ziko wapi?
 
Yeye ajibuye kabla hajajua ni upumbavu na aibu kwake.

Uchunguzi upi wamefanya? Pale kuna CCTV camera kwanini wasituoneshe kilichofanyika? Mtu aliyeanguka anasagikaje mguu pasipokuumia sehemu nyingine yoyote? Mbona Rpc wa Dodoma alithibitisha kuwa alikanyagwakanyagwa?

Usipende kutoa majibu mepesi kwenye hoja/maswali magumu.View attachment 1476735
RPC alidhibitisha kupokea taarifa na mtoa taarifa alitoa maelezo hayo ndio maana alisema baada ya uchunguzi watatoa taarifa.
Ni sawa na wewe ukaripoti polisi kwamba umepigwa na majambazi, taarifa walizonazo polisi itakua umepigwa na majambazi kama ulivyoripoti lakini baada ya uchunguzi ikagundulika wewe ndio ulikua jambazi na ukapigwa na kukimbilia polisi. Polisi watakuja na taarifa ya uchunguzi wao na sio maelezo yako Pekee Kama walivyoyapokea kabla ya uchunguzi.
 
Mbowe alikataa CCTV camera nyumbani kwake.
Bia yangu upo?? maana nikipitaga pale lumumba mnapouza madera mnatia huruma htr...Bora Yehova na mgonjwa mtambuka wao wanakusanya hela ya packing ng'ambo ya barabara kdg Wana pata hela, lkn ww na USSR mnatia huruma mnoo
 
Mi kinachoniuma mkuu, kwanini katibu mkuu atumie taasisi yetu kuficha personal weakneses...yani mtu alewe afu dah, yani nakosa chakuandika bora nkae kimya
Kakaa kimya mkuu.. maana zaidi zaidi utatuletea ulumumba tu
 
Back
Top Bottom