Jeshi la Polisi: Hakuna ushahidi kuwa Freeman Mbowe alishambuliwa. Alikuwa ametoka kwa Joyce Mukya. Alikuwa amelewa chakari

😅😅😅😅😅😂

Yote hayo Ni kusumbukia pesa na madaraka! Siasa ni Jambo la kishenzi Sana hasa mtu anapokuwa mroho wa madaraka na kupenda uarufu wa siasa

Mungu wa rehema, mrehemu huyu kiongozi wetu Mbowe Maana hajui alitendalo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…