Jeshi la Polisi: Hakuna ushahidi kuwa Freeman Mbowe alishambuliwa. Alikuwa ametoka kwa Joyce Mukya. Alikuwa amelewa chakari

Jeshi la Polisi: Hakuna ushahidi kuwa Freeman Mbowe alishambuliwa. Alikuwa ametoka kwa Joyce Mukya. Alikuwa amelewa chakari

Kuna Mwamba anajiita Erythrocyte huko Akiko Nahisi atakuwa anajinyea kabisa kwa kusikia Habari hii...



CDM acheni usaniii kabisa
Kwa ajili ya polisi wa Tanzania ! 😆😆😆
 
Kadri siku zinavyozidi kusonga ndivyo Chadema inavyozidi kuwa Chama cha kitototo Sana na cha kijinga Sana

Ni lazima hawa ni wa kuambia ukweli ili Pengine ukweli uwasaidie

Hovyo sans
Mbowe anakiaribu chama,
Huipendi CCM hata uchague upinzani,je utachagua chama gani?hakuna wote wapiga dili
 
Mbona hawajazungumzia footage ya cctv camera ? Au waliona hakuna haja ya kuangalia cctv,
By the way wamenata na biti
Mbowe inabidi azitoe tuone alivyopigwa si ziko kwake au
 
Wakati unakuja utatamani urudishe mda nyuma ila haitawezekana nawahurumia polisi wapenda najua sio wote wanaopenda kudanganya watu
 
Hapa tu ndio penye kila kitu. Sasa nazidi kupata shaka na huu ushahidi wa kuzunguka wakati kuna CCTV Cameras, na Bado hazitumiki kwenye ushahidi wa tukio hili!
Iliamriwa Mbowe auawe , ni bahati mbaya haya hayakutimia , sasa bila hivi Murrotto alikuwa anaondolewa Dodoma , imebidi atoe maelezo ya Ndugai ili abaki
 
Back
Top Bottom