Jeshi la Polisi: Hakuna ushahidi kuwa Freeman Mbowe alishambuliwa. Alikuwa ametoka kwa Joyce Mukya. Alikuwa amelewa chakari

Jeshi la Polisi: Hakuna ushahidi kuwa Freeman Mbowe alishambuliwa. Alikuwa ametoka kwa Joyce Mukya. Alikuwa amelewa chakari

Nakuwmbia mke wa ndoa wa Mbowe alivyo mzuri ukiiweka picha na ya Joyce Mukya sura ya Mukya takataka Hadi mtu unajiuliza hivi wanaume wanataka Nini hasa kwa wanawake?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwahiyo Mbowe kushindwa kutamka maneno sawasawa ndicho kipimo cha ulevi? Na kama alishindwa kwa kuwa alipigwa je?

Pia hicho kipimo walichotumia kumpima na kugundua kuwa alikuwa amelewa chakari ni kipi?

Nikiwaita Jeshi la wapumbavu nitakuwa nimekosea? Jibuni wenyewe kama hamustahili kuitwa "wapumbavu"

Nyie ni watu wazima hivyo ili mheshimiwe ni lazima muje na kitu kinachoeleweka.
Inaonekana Joyce Mkuya ni mtamu sana kuliko mke wa ndoa Lilian Mbowe, maana kila janga lazima ahusishwe
 
wakati unakuja utatamani urudishe mda nyuma ila haitawezekana nawahurumia polisi wapenda najua sio wote wanaopenda kudanganya watu
Bwana mdogo acha mahaba haya kwa Mbowe! Najua unampenda sana lakini kwenye hili hapana.

Kawaingiza mkenge hadi mabalozi wanaoziwakilisha nchi hapa kutoa matamko, kumbe ni ulevi wake tu

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
CCM na muendelezo wake wa kaole!! Aibu kwa nchi.

Kwani ni ajabu kunywa pombe, kwani ni ajabu kudondoka kwenye ngazi na kuvunja mguu ama mkono au hata kutegua kiuno?

Mbona Dr. Slaa alidondoka bafuni akavunja mkono kwa nini hajasema alishambukiwa?

Mambo mengine ni kuzidi kujiaibisha tu kama Taifa.
 
Mnaendelea na uchunguzi wa kutafuta ukweli wa tukio?? Ina maana mliyoyaongea humu ni hisia na au mmeelekezwa?
Ndiyo maana siku zote huwa nasema ukisoma vizuri taarifa za Jeshi la Polisi utagundua kuna kitu huwa wanatuambia lakini hatuelewi.
Ni kama mtu kashikiwa bastora kwa kificho anapojitahidi kukupa ishara.
 
Easy,, kwanini wanatumia nguvu kubwa sana.

Wangeangalia tu CCTV wangeona kila kitu..

Ni kama dewji alivyopotea tu, au Roma . Hauwezi kusikia kelele

Mtu anasilaha akikuambia kimya, unaufyata vizuri tuu..

Sasa waache utoto , weka CCTV itaonesha kila kitu, sio ku run around the bush..
 
Its time for Mbowe to step down kama kiongozi,watu wamepiga kelele wee ashuke lakini kawa jeuri ona sasa aibu hii..sidhani kama wanachadema watamsamehe...by the way,mimi sioni cha ajabu alichokifanya..a man should have social life..kama ni kunywa ulabu kupindukia apatiwe msaada arudi kwenye mstari...watu wanapona alcoholisim na wanarudi kwenye shughuli zao...
Kosa lake ni kudanganya ulimwengu kwamba kashambuliwa!

Usicheze na yale maombi ya siku tatu aliyotwmbia Magufuli tuombe, wote waliombeza wataumbuka

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Haya sasa, mambo hadharani, hapo aliposhindwa kumwambia mtoto wake James Mbowe hadi akampigia Joyce Mukya hapo ndio utajua uhalisia, yaani hata mtoto wake asijue baba kavamiwa na alikuwa home? Tena akipanda ngazi, sbb kama baba angepiga kelele James angesikia kelele za kuvamiwa baba yake na wakati anasubiria Joyce aje lazima James angeshuka au baba Mbowe angempigia mwanae hapo yuko ndani jirani. Eeeeh
 
Kwahiyo Mbowe kushindwa kutamka maneno sawasawa ndicho kipimo cha ulevi? Na kama alishindwa kwa kuwa alipigwa je?

Pia hicho kipimo walichotumia kumpima na kugundua kuwa alikuwa amelewa chakari ni kipi?

Nikiwaita Jeshi la wapumbavu nitakuwa nimekosea? Jibuni wenyewe kama hamustahili kuitwa "wapumbavu"

Nyie ni watu wazima hivyo ili mheshimiwe ni lazima muje na kitu kinachoeleweka.
Mwambie Mbowe aache sanaaa na ulevi oktoba imekaribia

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
BFBEDD47-1127-4629-B26F-0CFEAE125542.jpeg
Gembe sio chai...ukiiparamia bila kutumia akili lazima ikutoe nishai..
 
Easy,, kwanini wanatumia nguvu kubwa sana.

Wangeangalia tu CCTV wangeona kila kitu..

Ni kama dewji alivyopotea tu, au Roma . Hauwezi kusikia kelele

Mtu anasilaha akikuambia kimya, unaufyata vizuri tuu..

Sasa waache utoto , weka CCTV itaonesha kila kitu, sio ku run around the bush..
Mmekazana CCTV na mtu kaangukia ndani kwake
 
Back
Top Bottom