Masinki
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 709
- 478
Tuliwaambia lakini tatizo Chadema Ni vichwa panziHaya Sasa mambo wazi kabisa ni aibu hii kwa chadema kusema uongo sijui wataficha wapi sura zao chadema [emoji23][emoji1787][emoji2960]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuliwaambia lakini tatizo Chadema Ni vichwa panziHaya Sasa mambo wazi kabisa ni aibu hii kwa chadema kusema uongo sijui wataficha wapi sura zao chadema [emoji23][emoji1787][emoji2960]
Aibu kubwa hiiKimada Joyce Mukya ana nguvu kuliko hata mtoto wa kumzaa wa Mbowe
Mke wa ndoa wa Mbowe Ni daktari Tena bingwa akaona taarifa hizo zimfikie kimada sio mkewe wa ndoa Wala mwanawe
Maisha haya puuuui
Pole Sana mke wa ndoa wa Mbowe
Maelezo ya Mbowe Ni hayomshamaliza taarifa ya nn Sasa? Ila Kuna siku tutakayotaman kurudia nyakati hizi za utii wa wananchi itakua too late
Mmoja Kati ya mahawara wakeHivi mbowe hanaga mke?
Huyu Joyce mukya ni nani ,hawara ?
Aya ya PILI ya Taarifa ya Misime inamtaja mtu anaeitwa JOYCE MUKYA wakati Aya ya Tatu ya taarifa hiyo hiyo inamtaja mtu anaeitwa JOYCE NKYA, so which is which wakuu
Haya mtaziweka wapi sura zenu nyie vizabizabina mlioshupalia kupotosha. Mmhh aibu kubwa hii [emoji23][emoji1787][emoji2960]Ukiwa polisi Tanzania ni raha sana !
Tupia picha yake tuthaminisheJoyce mukya ni kisu balaa, hata ningekuwa mm ndio mbowe nisingemuacha