Jeshi la Polisi: Hakuna ushahidi kuwa Freeman Mbowe alishambuliwa. Alikuwa ametoka kwa Joyce Mukya. Alikuwa amelewa chakari

Jeshi la Polisi: Hakuna ushahidi kuwa Freeman Mbowe alishambuliwa. Alikuwa ametoka kwa Joyce Mukya. Alikuwa amelewa chakari

Hapa unaanika ujuha wako tu. Kila mahali tunakutana na CCTV na wala hazihitaji utaalamu wowote kuona kilichorekodiwa. Jinsi mnavyokwepa CCTV footage ndio kila kitu kinakuwa wazi. Safari hii hamchomoki. La Lisu mlizungusha lakini ukweli wote unafahamika. Uzuri Mungu ni mkubwa, hili limekuja kuweka wazi kile mnachoficha kwa Lisu. Hizi nyuzi wamejaa polisi na usalama wa taifa, wanajua hapa kwenye CCTV tumeshika pabaya. Uongo wote umefikia mwisho na unyama wote hadharani.
Nakuambia hata kama ingekuwa video ya kawaida polisi na mahakama lazima watumie wataalamu wa picha na sauti. Hivyo msikate tamaa ukweli uliojulikana utajulikana zaidi. Usiandikie mate wakati Joyce Mukya yupo.
 
Kuna watu wawili hapo wametajwa ambao ni
1. Joyce Nkya
2. Joyce Mukya.

Hili document takataka lililotoka Jeshi la hovyo kabisa la Polisi Tanzania limekosa uhalali.

Jeshi la kipumbavu!
La kipumbavu sana sana, ukute Lumumba ndio wameandika hio statement
 
Kuwa mwanasiasa nguli TANZANIA haikuitaji uwezo mkubwa wa kujenga hoja bali ni kusoma tu emotions tu za umma kulingana na wakati husika kwani waTANZANIA walisha achana na matumizi ya akili zao tangu tulivyokabidhiwa nchi na wakoloni

Watanzania wangekuwa wanatumia akili zao vyema CCM ingeondolewa madarakani muda mrefu sana

Watanzania wangekuwa wanatumia akili vyema(CDM) Mbowe hangepaswa kuwa mwenyekiti wa CHADEMA mpaka muda huu;

CCM KUMEOZA
CHADEMA KUNATOA FUNZA

NB:
UKOMBOZI UTAKUJA PALE WANANCHI WATAKAPOANZA KUTUMIA FAHAMU ZAO NA KUANZA KUZIONA RANGI HALISI ZA WALIOZANI WANAWAPIGANIA
 
Mi kinachoniuma mkuu, kwanini katibu mkuu atumie taasisi yetu kuficha personal weakneses...yani mtu alewe afu dah, yani nakosa chakuandika bora nkae kimya
Kwa lisu mlisema dereva wake ndio muhusika, hata walinzi waliokimbia lindo hamuwataki kabisaa kuwahusisha na kesi
 
Jeshi la Polisi litoe hadharani foot prints za CCTV Camera zilizopo eneo lote la Nyumba za Serikali ambapo Mh. Mbowe alivamiwa zioneshe hayo wanataka kuaminisha Umma. Ninyi ni Jeshi sio Idara ya Propaganda ya CCM.

Polisi sikilizeni, Mbowe alishakuwa ni "taasisi" na fikra zake za "Changes" zipo kwa mamilioni ya Watanzania, kamwe hamwezi kummaliza Mbowe, ambaye yupo kila Kitongoji, Kijiji, Mtaa, Kata, Taraafa, Wilaya na Mkoa. Mbowe yupo kwenye mioya na vichwa vya Watanzania!

Mr mkiki.
Inaonekana Joyce Mkuya ni mtamu sana kuliko mke wa ndoa Lilian Mbowe, maana kila janga lazima ahusishwe
 
Nakuambia hata kama ingekuwa video ya kawaida polisi na mahakama lazima watumie wataalamu wa picha na sauti. Hivyo msikate tamaa ukweli uliojulikana utajulikana zaidi. Usiandikie mate wakati Joyce Mukya yupo.

Nakuuliza kwa mahakama zipi?
 
Mahakama nayo hamna imani nayo? Wanasheria hamuwaamini,polisi hamuwaamini na wananchi pia. Sasa mnamuamini nani?

Hatuna imani na polisi wala mahakama, acha kuchanganya wananchi na wanasheria ukidhani utanipoteza maboya.
 
Sasa ulitaka aende wapi kupata msaada wa kwenda hospital?,pia hakuna sheria inayomlazimisha kwenda Benjamin mkapa hospital
Na yule Dr alisema aliitwa. Kwanini hawasemi kama personal Dr wake? Polisi ime poteza credibility ya kuwa chombo cha usalama na kuwa taasisi ya kisiasa.
 
Hakupimwa kutumia pombe bali wanatumia hisia zao
Ndio upelelezi wa jeshi makini la polisi Tanzania kutumia ushahidi wa kuhisi.. Makao makuu ya nchi.
Halafu kumbe unaweza fanya upelelezi na kutoa bajibu bila mlalamikaji kufungua faili, bila dereva kuhojiwa? Hizi sub standards zita lipotezea heshima polisi. Maana uchunguzi wa Lisu kupigwa risasi una msubiri dereva wa Lisi... [emoji316][emoji316]
 
Wameagizwa wafanye hivyo

Back
Top Bottom