Jeshi la Polisi: Hakuna ushahidi kuwa Freeman Mbowe alishambuliwa. Alikuwa ametoka kwa Joyce Mukya. Alikuwa amelewa chakari

Jeshi la Polisi: Hakuna ushahidi kuwa Freeman Mbowe alishambuliwa. Alikuwa ametoka kwa Joyce Mukya. Alikuwa amelewa chakari

Just go with a technologies? Bora uwe unaandika kiswahili tu. Alafu kwa akili yako kati ya ushahidi wa binadamu na Cctv video footage upi una nguvu mahakani? Maana Cctv video footage lazima wataalamu waje wathibitishe kitalaamu kama kweli mlevi anadondoka. Binandu mwenye akili timamu ana sense kwa sensory organs na anatoa direct evidence.Kama hawakusikia mtu akishambuliwa Cctv ndio zitarekodi?

Na wewe ni yale yale tu unamcheka mwenzio nini sasa! Wewe bingwa wa Kiswahili “Binandu” ndio mdudu gani?
 
Polisi haina muda wa kugangaika na DJ mzoefu alitebobea kwenye usanii,polisi wanapaswa kudili na mambo yenye tija kwa taifa letu sio haya maigizo ya mbowe

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Mimi naungana na polisi, haiwezekani useme umevamiwa nyumbani kwako halafu mtoto wako asisikie kelele wala kuona kinachotokea, usanii mtupu!
 
Ndugu zangu polisi just simple and cleal fungueni CCTV camera ZA nyumba ya Mbowe over.

Ni jambo la aibu polisi unatoa matokeao ya uchunguzi wako alafu unasema kama kuna mtu Ana taarifa akupe ulizo toa wewe nu USHUZI?.
Ni aibu wewe mtaalamu wetu unasema tukio bado mnalichuguza unachunguza nini wakti umeisha toa taarifa?
Weka wazi Yaliyomo kwenye CCT camera hapo polisi mutaeleweka
 
Hahahaha Makamanda wakike huko chadema wanapiga kelele hawawezi kupumua maana Mbowe ana wakandamiza na Uume wake kila mara hahahaha
 
Na wewe ni yale yale tu unamcheka mwenzio nini sasa! Wewe bingwa wa Kiswahili “Binandu” ndio mdudu gani?
Mimi nimeandika kiswahili na hiyo ni typing error. Tofautisha na makosa ya mtoa mada. Naomba niishie hapo. Binadamu ndio nilimaanisha.
 
Support ya nini? Jambo la muhimu ujumbe uingie. Kwani lazima uchangie? Na sasa mna kipindi kigumu sana.Bora uhame mapema.
Huoni support yangu imekuletea traffic?,uzi wako ulidoda bila boost ujumbe ungemfikia nani sasa?
 
Ndugu wana jamvi habali za asubuhi?

Niingie kwenye mada,

Nionavyo mimi ni kwamba hii ajali ya mhe. Mbowe kwa sasa anaijutia na pengine kwa kuwapa mamlaka vijana wake ambao ni special kutoa na kufanya maamuzi juu ya chama kwa ruhusa yake.

Nasema hivyo kwa sababu gani? Kama mh. Mbowe angekuwa na utambuzi mzuri nadhani asingekubali hiyo ajali ihusishwe kisiasa kwa kuwa ni jambo ambalo lingeripotiwa kawaida lisingempa wakati mgumu kama alionao sasa kujibu hoja nyingi ambazo zisinge kuwapo.

Kulingana na taarifa ya Polisi kuwa alikuwa amelewa chakari na pia Daktari wa Bunge kusema hivyo, inatosha kusema kauli za watu wasiojulikana ziliasisiwa na vijana wake bila kumshirikisha na kujua uzito wa maamuzi yao.

Kwa hiyo baada ya kupata utambuzi tayari mambo yalikuwa yamerushwa hewani kwa hiyo hakuwa na namna.

Wangeripoti kuwa amepata ajali baada ya kuwa anatoka kunywa kinywaji wala pasingekuwa na challenge nyingi kwani hilo ni jambo la kawaida tu.

Nimuombe Mbowe apunguze nguvu ya hawa vijana wake ili kutunza heshima yake na chama chake.

Maaana kwa sasa hata ambaye alikuwa hajui kuwa Mbowe ana mchepuko sasa kajua, na hao mabalozi wake sasa watajua kuwa malalamiko ya wabunge kuombwa mapenzi ni ya ukweli maana tayari kianzio kipo.

Pole sana Mr. F Mbowe.
 
Nakuwmbia mke wa ndoa wa Mbowe alivyo mzuri ukiiweka picha na ya Joyce Mukya sura ya Mukya takataka Hadi mtu unajiuliza hivi wanaume wanataka Nini hasa kwa wanawake?
Dah....vipande vipande mkuu [emoji2960]
 
Maaana kwa sasa hata ambaye alikuwa hajui kuwa mbowe ana mchepuka sasa kajua, na sasa malalamiko ya wabunge kuombwa mapenzi ni ya ukweli maana tayali kianzio kipo.
Pole sana Mr F Mbowe.

Duh...!.

P
 
Unaiamini taarifa ya Ndugai&co+Muroto+Sirro dhidi ya Mh Mbowe?Mbona inaonekana imekaa tenge kwa wenye macho na masikio?
Mukya naye mnamhesabu miongoni mwa wakosefu wasiosikilizwa katika sakata hili?Mnaposema CDM wanatukana,matusi haya mnayoyatoa hadharani na Bungeni yamehalalishwa kisheria?
 
Ni ukweli intelejinsia ya Mbowe ilitaka imtumie kujinufuasha kisiasa ila wamecheza blunder
 
Unaiamini taarifa ya Ndugai&co+Muroto+Sirro dhidi ya Mh Mbowe?Mbona inaonekana imekaa tenge kwa wenye macho na masikio?
Mukya naye mnamhesabu miongoni mwa wakosefu wasiosikilizwa katika sakata hili?Mnaposema CDM wanatukana,matusi haya mnayoyatoa hadharani na Bungeni yamehalalishwa kisheria?

Kwa akili yako unapata ajari nyumnani kwako na una familia ndani unakimbia kwenda kwa mpenzi bila kuwajulisha familia yako ndani na upo jirani na mlango? Kijana wa mbowe alikuwa ndani kwa nini hakujulishwa?

Kwa hali hiyo unataka tuamini taarifa ya mbaowe kuwa ni sahihi?

Kama yeye amezuga na police watazuga hivyohivyo ngoma inakuwa bilabila.

Kama police haaminiki na mbowe pia haaminiki, kwa kuwa hata taarifa ya katibu wenu haijitoshelezi, waliompiga hawajuikani, alipokuwa anatoka hapajulikani,

Waliompa huduma mpaka hospitali hawajulikani kwenye taarifa ya katibu mkuu

Kwa hiyo ajari ya mbowe pia ni isiyojulikana.
 
Alipiga kelele sana lakini majirani hawakusikia, Dereva wake aliyekuwa kwake ndiye alisikia akaja kumchukua na kumpeleka kwa... badala ya Polisi. Na kisha kwenda kituo cha afya zaidi ya km 5 nje ya mji. Duuuh!!

Usishangae kesho tukasikia dereva wa Mbowe naye hajulikani alipo.
Lini mbowe alisema alipiga kelele sana?
 
Back
Top Bottom