Volodimiri Zelensiki
JF-Expert Member
- Jan 3, 2015
- 1,154
- 3,417
Nakuambia hata kama ingekuwa video ya kawaida polisi na mahakama lazima watumie wataalamu wa picha na sauti. Hivyo msikate tamaa ukweli uliojulikana utajulikana zaidi. Usiandikie mate wakati Joyce Mukya yupo.Hapa unaanika ujuha wako tu. Kila mahali tunakutana na CCTV na wala hazihitaji utaalamu wowote kuona kilichorekodiwa. Jinsi mnavyokwepa CCTV footage ndio kila kitu kinakuwa wazi. Safari hii hamchomoki. La Lisu mlizungusha lakini ukweli wote unafahamika. Uzuri Mungu ni mkubwa, hili limekuja kuweka wazi kile mnachoficha kwa Lisu. Hizi nyuzi wamejaa polisi na usalama wa taifa, wanajua hapa kwenye CCTV tumeshika pabaya. Uongo wote umefikia mwisho na unyama wote hadharani.
Are you serious au unajifurahisha mwenyewe?Mwategemea maguvu ya POLICCM baada kuishiwa mvuto kwa waTZ. CHADEMA hamuiwezi.
Naunga mkono hojaNakuona uko na mjinga mwenzio,anakupa story ya cctv kua mbona alizitoa.lumumba ya awamu hii imejaa wajinga level yakoView attachment 1476840
Mahakama nayo hamna imani nayo? Wanasheria hamuwaamini,polisi hamuwaamini na wananchi pia. Sasa mnamuamini nani?Kwa mahakama zipi?
Ni kweli kabisa...Hapa Mbowe kacheza karata zake vibaya. Angesema tu aliteleza kwenye ngazi ikatosha.
What are u talking aboutMshamaliza taarifa ya nini sasa? Ila Kuna siku tutakayotaman kurudia nyakati hizi za utii wa wananchi itakua too late.
La kipumbavu sana sana, ukute Lumumba ndio wameandika hio statementKuna watu wawili hapo wametajwa ambao ni
1. Joyce Nkya
2. Joyce Mukya.
Hili document takataka lililotoka Jeshi la hovyo kabisa la Polisi Tanzania limekosa uhalali.
Jeshi la kipumbavu!
Kwa lisu mlisema dereva wake ndio muhusika, hata walinzi waliokimbia lindo hamuwataki kabisaa kuwahusisha na kesiMi kinachoniuma mkuu, kwanini katibu mkuu atumie taasisi yetu kuficha personal weakneses...yani mtu alewe afu dah, yani nakosa chakuandika bora nkae kimya
Kuna siku ndugu zako watafanyiwa hivyo.Kwa lisu mlisema dereva wake ndio muhusika, hata walinzi waliokimbia lindo hamuwataki kabisaa kuwahusisha na kesi
Inaonekana Joyce Mkuya ni mtamu sana kuliko mke wa ndoa Lilian Mbowe, maana kila janga lazima ahusishweJeshi la Polisi litoe hadharani foot prints za CCTV Camera zilizopo eneo lote la Nyumba za Serikali ambapo Mh. Mbowe alivamiwa zioneshe hayo wanataka kuaminisha Umma. Ninyi ni Jeshi sio Idara ya Propaganda ya CCM.
Polisi sikilizeni, Mbowe alishakuwa ni "taasisi" na fikra zake za "Changes" zipo kwa mamilioni ya Watanzania, kamwe hamwezi kummaliza Mbowe, ambaye yupo kila Kitongoji, Kijiji, Mtaa, Kata, Taraafa, Wilaya na Mkoa. Mbowe yupo kwenye mioya na vichwa vya Watanzania!
Mr mkiki.
Jibu hoja kima wew.Inaonekana Joyce Mkuya ni mtamu sana kuliko mke wa ndoa Lilian Mbowe, maana kila janga lazima ahusishwe
Nakuambia hata kama ingekuwa video ya kawaida polisi na mahakama lazima watumie wataalamu wa picha na sauti. Hivyo msikate tamaa ukweli uliojulikana utajulikana zaidi. Usiandikie mate wakati Joyce Mukya yupo.
Mahakama nayo hamna imani nayo? Wanasheria hamuwaamini,polisi hamuwaamini na wananchi pia. Sasa mnamuamini nani?
Na yule Dr alisema aliitwa. Kwanini hawasemi kama personal Dr wake? Polisi ime poteza credibility ya kuwa chombo cha usalama na kuwa taasisi ya kisiasa.Sasa ulitaka aende wapi kupata msaada wa kwenda hospital?,pia hakuna sheria inayomlazimisha kwenda Benjamin mkapa hospital
"Simple and clael" jirekenishe na ww . Japokuwa kwenye hili simtetei mbowe
Ndio upelelezi wa jeshi makini la polisi Tanzania kutumia ushahidi wa kuhisi.. Makao makuu ya nchi.Hakupimwa kutumia pombe bali wanatumia hisia zao
Ndio upelelezi wa jeshi makini la polisi Tanzania kutumia ushahidi wa kuhisi.. Makao makuu ya nchi.
Halafu kumbe unaweza fanya upelelezi na kutoa bajibu bila mlalamikaji kufungua faili, bila dereva kuhojiwa? Hizi sub standards zita lipotezea heshima polisi. Maana uchunguzi wa Lisu kupigwa risasi una msubiri dereva wa Lisi... [emoji316][emoji316]