Jeshi la Polisi: Hakuna ushahidi kuwa Freeman Mbowe alishambuliwa. Alikuwa ametoka kwa Joyce Mukya. Alikuwa amelewa chakari

Haya Sasa mambo wazi kabisa ni aibu hii kwa chadema kusema uongo sijui wataficha wapi sura zao chadema [emoji23][emoji1787][emoji2960]
Hivi kweli na wewe unaona hii ni taarifa yenye hadhi ya kuitwa taarifa rasmi toka Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania? Mungu wangu! Hivi kweli tuna Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania mwenye uelewa wa namna hii? Kweli anaandika taarifa kama hii isiyo na hadhi ya kuandikwa hata na chekechea wa St. Mary's !
 
Kwa hiyo watu wasiposikia Kelele wala kukuona ukishambuliwa basi unakuwa hukushambuliwa? Hivi hakuna wahalifu wanaowaziba midomo au kuwakaba wahanga wa uhalifu? Ndio tumefika huku? Tanzania ya Jiwe ni kituko. Weledi umewekwa pembeni na kufuata matakwa ya wakubwa.
 
Duh ficha ukilaza wako unatia aibu [emoji23][emoji1787][emoji2960]
 
Ni kama vile hii taarifa ameandika akikimbizwa na amesoma akikimbizwa. Taarifa inaandikwa kama vile mwandishi kagadhabishwa na kuchukizwa na kitu fulani toka kwa Mbowe.
 
Duh ficha ukilaza wako unatia aibu [emoji23][emoji1787][emoji2960]
Pole kilaza. Umeishia chekechea mwaka wa ngapi? Taarifa imejaa mihemko tu. Taarifa gani ya ukilaza kama hii. Mara useme Nkya mara Mukya, mara uchunguzi unaendelea kupata ukweli wa jambo hili, mara mwenye taarifa atuletee, mara uchunguzi wetu umebaini kwamba...... Sasa tushike lipi? Anatoa taarifa ya uchunguzi au bado wanachunguza?
 
Huu ni uchunguzi wako au unarejea taarifa ya hii taarifa tuliyoisoma wote? Maana taarifa tunayoisoma hapa inasema alionekana amelewa, yaani kwa macho alionekana. Ina maana hakuna uhakika. Wewe unasema alibainika amelewa. kwa wewe una ushahidi kwamba alilewa kwani vipimo vilibaini ulevi ila macho ya polisi yalihisi amelewa. Sasa tushike uchunguzi wako au wa Polisi?
 
Wewe unasema Joyce Mukya lakini polisi wana akina Joyce wawili ambao ni Joyce Nkya na Joyce Mukya. Nani mkweli kati ya wewe na Polisi?
 
Kujitoa ufahamu hakubadilishi tukio lilivyokuwa hata upingane na ripoti hakita badilika kitu, itabaki tu mbowe alilewa akateleza kwenye ngazi na kuumia kisigino
 
Hivi RPC wa Dodoma ni Gilles Muroto au Mroto? hawajuani hata majina makamanda wetu jamani!
 
Kwa hiyo ulitaka waseme kapigwa hata hajapigwa. Kama unahakika kapigwa unaweza kuthibitishia umma pia. Maana hao majirani hawawezi kudanganya.
The expected report. None can go against the prior said report by the Speaker of Jiwe. What is said by Speaker is the one that has been said by the holder and/ or the owner of the Speaker
 
Kujitoa ufahamu hakubadilishi tukio lilivyokuwa hata upingane na ripoti hakita badilika kitu, itabaki tu mbowe alilewa akateleza kwenye ngazi na kuumia kisigino
Sasa kama uchunguzi umekamilika na kutolewa taarifa unasema tena "uchunguzi unaendelea kupata ukweli wa jambo hili" na tena unasema "mwenye taarifa za tukio hili atuletee". Sasa hapo maana yake nini?
 
Nimecheka peke yangu.
Kumbe pombe mbaya kiasi hicho.
 
kwa manufaa ya JF na wengine unaweza kuniwekea hapa andiko langu nililokataa ushahidi wa CCTV CAMERA ?
 
Kujichetua tu unaweza.
Msijitoe ufahamu. Ukweli ni kwamba Taarifa hii kwa aliyeenda shule akaelimika haijitoshelezi. Ina upungufu mwingi mno! Ina acha maswali mengi kuliko majibu. Hii siyo taarifa ya uchunguzi bali ni taarifa inayokazia taarifa ya Spika na wale akina Lijualikali na Silinde
 
Yaani hawa jamaa ni aibu. Taarifa yenyewe utafikiri imeandikwa na Chekechea wa kijijini. Taarifa inajikanganya yenyewe. Kila aya inayofuata inapingana na iliyopita.
 
Lijamaa linakunywa vinywaji Vikali sana wakati umri wake umeenda sana.
Likishauliwa kupunguza mvinyo mkali nasikia linakuwa mbogho.
Umeliona wapi? Linakunywa na mama yako ndiye kakuhadithia? Acha matusi, hayo ni matusi ya wazi ...nawe utatukanwa maana huna valid argument except matusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…