Sumve 2015
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 4,563
- 4,227
Chukua kitabu cha O'level usome
Hahaa usimaindi fanya hivyo!Unaona sasa ,unakuwa kama wapiga ramli Mkuu.Ukiwa unaandika Hoja yako ili kuonesha mapungufu ya Hoja ya mwenzio hakikisha unaitetea mwanzo mwisho.
Na hata mguu anaigiza, ripoti ya daktari inaonesha hajavunjika wala kuteguka, ni maumivu ya kawaida tu kwenye ankle baada ya kuukanyagia vibaya.Na akavunjika Mguu tu bila ya kupata majeraha sehemu nyingine ya Mwili eti ?..
Kwanini unataka aseme uongo? Watu wakushambulie halafu useme umeangukaMwenye kiti Mbowe angesema tu ukweli kuwa kateleza wakati anapanda ngazi kwa bahati mbaya bila shaka viongozi wote wangemfariji kwa pole na pasingekuwa na mtafaruku wa sintofahamu hii au mnasemaje wadau
Kama aliangukia mguu![emoji41]Na akavunjika Mguu tu bila ya kupata majeraha sehemu nyingine ya Mwili eti ?..
Kama aliangukia mguu![emoji41]
Sasa kwani haijawekwa sawa?Nna aamini CCM mngekuwa na hakika ya yote haya ,yangeshawekwa hadharani mapema na sio blah blah za kina Lijualikali /Msukuma na kiongozi wao Mkuu Subwoofer.
Sio kosa lake tatizo ni muda na Mazingira.
Sasa kwani haijawekwa sawa?
Unataka iwekwe sawa kivipi?
Naunga mkonoMwenyekiti Mbowe angesema tu ukweli kuwa kateleza wakati anapanda ngazi kwa bahati mbaya bila shaka viongozi wote wangemfariji kwa pole na pasingekuwa na mtafaruku wa sintofahamu hii au mnasemaje wadau
Kuna alisema ikifika 2020 atakuwa ameua upinzani. Inawezekana anafanya haya baada ya kutofanikiwa malengo YakeKumbuka Mbowe na Zito walisema mwaka wa 2020 ni mwaka wa hekeka kwa serikari, kwamba watafanya mambo makubwa ya kuitikisa serikari,
Bahati mbaya mwaka unaisha sasa wengine inabidi watafute lolote bila kujali madhala yake, wengine wanatengeneza vi clip wanapeleka BBC na balozi za uingeleza kwa kujificha
Ila hali ndo hivyo haiko upandw wao sasa ni kutapatapa tu.
Hata uko kwenu wanaapa. Ni binadamu katika kuhalalisha yao.Tukio la Mh Lissu tuliona Matokeo yake ,Arusha Soweto kule waliuwawa Binadamu.Wapo Watu walijiapiza kuwa wanao ushahidi mpaka Mbinguni ,matokeo ya maapizo yale tuna yajua.So fanyeni tunavyo weza Mkuu.